chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Freemasons na uchawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm sio kada wa ccm.. But alivyoongea huyo kivuko kilirekebishwa.. Hapo maybe hawajarekebisha vizur.. Au watu walizid sana kweli.. Ambayo pia ni uongozi mbovu wa meli.. But overall serikali imezngua ..on tht picture u can see new engines.. So myb waliweka vibaya.. Au watu walizid.. Kuna uzembe flan. Inabid tusiufungie macho View attachment 873707
Inasikitisha wakatimwingine.Tunachelewa sana. Na UBOSI ni MWINGI zaidi ya UTUMISHI.Leo ndio tunaona mie ricopta na miboti ya polisi nayo yamebeba viongozi tu wa polisi na wa kiserikali Huku waokozi wakiwa kwenye mitumbwi.
Hatujifunzi tokea MV bukoba,spiceisland,kivuko kilombero nk,Kwanini serikali inatenga pesa za kurudia uchaguzi lakini taa za kuokolea maisha ya watu usiku hawana, why?
Its so dissapointing.. And sad.. Watu hutaka kujaza mifuko yao kwanzaHalafu uwezo wa hicho kivukio ni abiria 101, jamaa walipakia zaidi ya hao, kwa kweli hapo uzembe ulitendeka.
Hivi Bado kuna watu wanamsikiza huyu MTU???Yuko live.
-Anasema taarifa aliyopewa ni kuwa hiyo meli inaweza beba watu 100 na tani 25. Ila ilizidisha watu.
-Pia ilipakia mahindi magunia mengi na makreti ya bia na soda na vifaa vya umeme pamoja na gari/ magari.
-Ilikiwa ni siku ya soko alhamis hivyo na abiria walikuwa wamebeba mizigo, hivyo ni wazi ilizidisha uzito.
-Pia anasema inasemekana aliyekuwa anaendesha yawezekana sio kapteni mwenyewe, hivyo ameagiza wote wakamatwe. Pamoja na kapteni na watendaji wa kivuko wakamatwe na shughuli za upelelezi ziendelee.
-Pia amemuagiza waziri mkuu kuunda tume ya uchunguzi juu ya hii ajali.
Ataka wanasiasa wasichukulie hii kitu kisiasa.
Mwisho ametoa pole kwa wafiwa wote.
Usiuamini ujinga wowote ule toka kwa mwana CCM yeyote yule!!Hiki kivuko kimesifiwa sana kwenye vipindi maalumu vya TBC last week, na yule nahodha alisema kwasasa hatarajii tatizo lolote kubwa kwani mifumo iliyowekwa ni ya kisasa kabisa, na kwamba kila kitu anakiona kwenye screen yake mapema kabisa kabla ya mtu mwingine yeyote, je hakuona gauge ikisema chombo hakiko kwenye uwiano sahihi?
Kilipoundwa hilo lilikuwa kwenye mahesabu ya FIZIKIA.Mmoja ya wadau amesema possible reason ni kuwa watu walihama na kusogea mbele ili kuwahi kushuka baada ya kivuko kukaribia nchi kavu, kwahiyo uzito ulisababisha kivuko kuelemewa upande mmoja
Nchi za wenzetu serikali nzima ingejiuzuru wananchi wangeitaka iachie nguvu kwa uzembe wa watu kufa mita 100 tu nchi kavu,Ila ccm mmechemsha Sana kwenye ajali ya mv Nyerere....mabilioni ya kuwanunua madiwani na wabunge mnayo ila hata vibatari vya kuokolea wahanga kwenye ajali hiyo hamna....[emoji41]
Uchaguzi he?Hekima hutuleta pamoja hususan ktk matukio kama haya kwa kuweka itikadi zetu pembeni, HEKIMA.
Huyo ni kiongozi wa mipasho na matusi bungeni na kwenye kampeiniLivingSTONE kaenda tayari kwani?
Naweza kabisa kuilaumu serikali kwa kuendelea kufanya kazi kwa mazoea.Kwa mtizamo wako unadhani wakisema bara la Afrika lina ujinga unafikiri ni swala na twiga wa serengeti? Au mapiramid ya Egypt? Yaweza kuwa wewe mwenyewe ukawa unaliongezea bara let asilimia kadhaa bila kulitambua hilo.
Ajali zinatokea mpaka kwenye nchi zilizoendelea, tatizo hapa lipo kwenye demand ya watu na kivuko husika, our government could have done better before yet they still have all what is required to sort it out
Hawezi kujiuzuru kwakua hajitambuiTena weka ndani wote.
Yan haiwezekani usjue kivuko kilibeba watu wangapi kwahiyo hao watu walipanda katikati ya maji.
Yan wanafanya kazi bila data. Hata ng'ombe zizin huwa mchungaji anawahasabu anapowarudisha.
Mkuu wa sumatra mwanza angekuwa tayr saiz kajiuzur yan.....
Kilipoundwa hilo lilikuwa kwenye mahesabu ya FIZIKIA.
Hiyo si kweli.
Ukweli ni kuwa chombohicho kiilikuwa kimejazwa pomoni zaidi ya uwezo wake.
Watanzania tujifunze kusema ukweli, badala ya kuupinda.
Ama ni vip imkuu?
Alijitahidi na juhudi zake zimeonekana ila alichemka alipositisha zoezi. Unapataje usingizi wakati watanzania wenzio wakiwa majini hai au maiti. Kama Mkuu wa mkoa angempigia hata rais simu ya kuomba msaada wa vifaa ila labda aliomba akaambiwa awaache waathirika wapambane na hali zao kwa nini wamepanda chombo kilichojaa.Inasikitisha wakatimwingine.Tunachelewa sana. Na UBOSI ni MWINGI zaidi ya UTUMISHI.
Nampongeza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa juhudizake nzuri alipo mobilize uokoaji akishirikiana nawengine .ALIJARIBU .Hongera sana.mkuu wa mkoa.