Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hahahahaaa!!Alijitahidi na juhudi zake zimeonekana ila alichemka alipositisha zoezi. Unapataje usingizi wakati watanzania wenzio wakiwa majini hai au maiti. Kama Mkuu wa mkoa angempigia hata rais simu ya kuomba msaada wa vifaa ila labda aliomba akaambiwa awaache waathirika wapambane na hali zao kwa nini wamepanda chombo kilichojaa.
Kuna Mzee mmoja mtoto wake wa kiume alituhumiwa kumpa mimba mwanafunzi kesi ikaletwa kwangu na wazazi wakitaka suruhu nikampigia baba wa kijana wa kiume majibu yake yaliniacha hoi aisee. Anasema mwache afungwe tu kila siku namuonya asikii mwache afungwe nilichofanya nikaiacha kesi iende mbele aliposikia yuko polisi uchunguzi unaendelea Mzee ananipigia ananiambia nimshauri afanyeje nikasema wazee wengine hasara tu.
Kubalii ukataee hapaa mmebugi tuu tulizaa povu usuuzeeKwani hivyo vifaa hua vinakua vimezama na kivuko chini ya maji ?Tumia akili acha siasa.
Kuna swali pale? Nimeona alama ya kushangaa (!) mwisho wa sentenso na si alama ya kuuliza (?)....Swali zuri.
Mimi nimeona swali. Kama hukuliona siwezi kukusaidia.Kuna swali pale? Nimeona alama ya kushangaa (!) mwisho wa sentenso na si alama ya kuuliza (?)....
Nani alikudanganya?Waizir ajizulu Kwa kosa gan alilofanya ndivyo mnavyojidanganya mkiwa na mzee wakubadilisha gia angani
Lissu hatoki kaskazini lakini " mzigo" ulikuwepo!Kwakweli Mbowe na Chadema wanawanyima raha. Si rahisi ipite siku humu bila kutaja Chadema na Mbowe. Uzuri Lissu hatoki kaskazini bali anatoka central, maana angekuwa ni wa kaskazini mngetafuta kutoka na kiki ya ukabila.
Mleta mada ametumia bongo kufanya critical analysis,wewe unatumia mat.ko kumjibu,bado tuna safari ndefu sana...Hata chadema hawawezi kwepa kuhusika na kifo cha Chacha Wangwe
I reserve my comments!!Write your reply...sijamsikia kangi lugola a.k.a braza k au ninja......akiongea.
Mkuu ni kweli ama ni CHUMVI??Maboya ya kujiokoa yalikuwa yamefungiwa stoo kwa kufuli kubwa!