Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwao magari na vifaa vya kutuliza ghasia ni vya muhimu sana kuliko hivyo vifaa vya kuokoa!! Kwani yale magari ni mengi mno kuliko hata mahitaji ila yaliletwa ili kutisha watu tu!! Kwa tz idara ya zimamoto na uokoaji ni kama watoto yatima.sasa yale magari Ya kuwasha washa" mnayoyatumiaga wakati wakampeni " si muyauze tu" ili mnunue " vifaa tija" vitakavyo saidia uokozi kwenye majanga kama haya "... Au yale magari wakati huu yanafaida gani"...
au ndio mmekaa mnahofu muda" wote kuwa wa tz wanawaza kuandamana tu ".... mxiiiiiiiiuuuuuww JINGA sana haya ma CCM
Acha siasa kwenye mambo ya msingiVifaaa vyakukesha kulinda kura za chama penda vipo lakin?
Unamuuliza nani hili swali ? Muulize nileye mqoute ndiye anasema waziri hapaswi kujiuzuluKama Mwinyi ALILAZIMISHWA na Mwl JK. Nyerere ajiuzulum kwani ni kupu KIGUMI kwa huyu?
Mkuu walitakiwa wawe na underwater torches/flashlights.Kwani jinsi ilivyo binuka hivyo wakizamia kwa chini wanaona hao watu au ndo kipofu kupapasa nisaidien kwa hili nijue
Tatizo unachukulia picha ya dsm ndio iko pote?? Hivi unapafahamu huko ukara palivyo mkuu!!! Kidogo ingekuwa mwanza mjini afadhari, kuna vifaa hata vya kuokoteza huku na huko, tatizo ni kutokuwa na kitengo maalum cha uokoaji kwani hata zima moto wanategemea kikosi cha marine kilichopo mwanza, wakati nao ndio hivyo vifaa vya kuunga unga!!!Gharama zakurudia uchaguzi wa diwani ni 200-250 mil. wakati ubunge ni 2-3 bil. lakini hapohapo RC na washauri wake wameshindwa kufanya hata harambee ya vifaa vya uokoaji na mwanga.
Makonda ana mapungufu yake lakini kwenye hili tungeshuhudia ubunifu wake mkubwa.Mongella kafanya ukatili sana kwa uamuzi wake wa jana.
Kwa Tanzania hii??? Ya wazee wa kukurupuka,Angalo hata helicopter ingeshusha maboya chap,wengi wangenusurika!!
Endelea kula bata msomi...Mi naulizia kwa sisi wanafunzi jumatatu tunaenda shule au laa???
nimalizie likizo yangu vizurii[emoji190]
Yule hajaua. Huyu amesababisha vifoUnataka double standard na yule aliyetuibia kodi zetu kwa kuleta fenicha?
Hapo ndipo tunapoonekana watu wa ajabu!Lakini pesa za kuwanunua akina Waitara na Mtatiro zipo, si ndio?
Kwa lipi unamtetea mkwepa kodi ?!Yule hajaua. Huyu amesababisha vifo
Ukweli ni chombo kilikuwa kibovu, ila wanasema ni overload na nahodha eti alikuwa deiwaka ili kuficha uzembe waolakini hapo kutakuwa na uwongo mwingine tunadanganywa sababu ukichukua 131+40=171 huku tunaambiwa kulikua na watu zaid ya 400 ina maana kuna watu wengne zaidi ya 270 wako chini ya maji au imekuaje..? tusipewe majibu marahisi kwamba chombo kimezama sababu ya overload tuambiwe ukweli labda ni ubovu wa chombo au ni nn?
[emoji119] [emoji119] [emoji119]hapana wote tunatakiwa twende ziwani
Kuunga mkono juhud za serikali