Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Mzee baba kawapiga nasikia pini mdomoni wanasiasa leo kuhusu hiyo ajali
 
sasa yale magari Ya kuwasha washa" mnayoyatumiaga wakati wakampeni " si muyauze tu" ili mnunue " vifaa tija" vitakavyo saidia uokozi kwenye majanga kama haya "... Au yale magari wakati huu yanafaida gani"...

au ndio mmekaa mnahofu muda" wote kuwa wa tz wanawaza kuandamana tu ".... mxiiiiiiiiuuuuuww JINGA sana haya ma CCM
Kwao magari na vifaa vya kutuliza ghasia ni vya muhimu sana kuliko hivyo vifaa vya kuokoa!! Kwani yale magari ni mengi mno kuliko hata mahitaji ila yaliletwa ili kutisha watu tu!! Kwa tz idara ya zimamoto na uokoaji ni kama watoto yatima.
 
kulingana na maelezo ya source mbali yanaeleza chombo kimezama sababu ya ujazo yani kilipaswa kubeba watu 100 mbadala kikabeba watu 400 na zaidi...sasa tujiulize
1.kama maiti paka sasa inasemekana zmefika 136 na zoez linatarajiwa kuisha leo sa 12 jioni na majeruhi ni 40 tuuh ikimaanisha jumla yao ni 171 labda tu assume kukitokea ongezeko hawatazidi 220..ukitafuta tofauti ya 400 na 220 ni sawa na watu 180 je hao watu waeza wakawa wamepotelea ndani ya maji au tunapotoshwa kwa majibu marahisi juu ha chombo kuzama? mwenye kujua atueleze
 
Gharama zakurudia uchaguzi wa diwani ni 200-250 mil. wakati ubunge ni 2-3 bil. lakini hapohapo RC na washauri wake wameshindwa kufanya hata harambee ya vifaa vya uokoaji na mwanga.

Makonda ana mapungufu yake lakini kwenye hili tungeshuhudia ubunifu wake mkubwa.Mongella kafanya ukatili sana kwa uamuzi wake wa jana.
Tatizo unachukulia picha ya dsm ndio iko pote?? Hivi unapafahamu huko ukara palivyo mkuu!!! Kidogo ingekuwa mwanza mjini afadhari, kuna vifaa hata vya kuokoteza huku na huko, tatizo ni kutokuwa na kitengo maalum cha uokoaji kwani hata zima moto wanategemea kikosi cha marine kilichopo mwanza, wakati nao ndio hivyo vifaa vya kuunga unga!!!
 
Hivi lazima uanzishe uzi?

Au na wewe hutaki hili suala liishe kabla hujasema lolote...sasa umeandika nini hapo jamaa.
 
Kitengo Cha uokoaji kipo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu Na Mwenye gari alifuta Bajeti ya Maafa tangu kashika sterling Kwa hoja Kuwa enzi zile Za Mkwere watu walikuwa wanapiga hizo hela

Ajali kubwa Kama ile cordination yake haiwezi Kuwa chini ofisi ya RC
 
lakini hapo kutakuwa na uwongo mwingine tunadanganywa sababu ukichukua 131+40=171 huku tunaambiwa kulikua na watu zaid ya 400 ina maana kuna watu wengne zaidi ya 270 wako chini ya maji au imekuaje..? tusipewe majibu marahisi kwamba chombo kimezama sababu ya overload tuambiwe ukweli labda ni ubovu wa chombo au ni nn?
Ukweli ni chombo kilikuwa kibovu, ila wanasema ni overload na nahodha eti alikuwa deiwaka ili kuficha uzembe wao
 
Back
Top Bottom