Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Nn mbna mikono juu[emoji119] [emoji119] [emoji119]
Jibu lako MkuuNn mbna mikono juu
Lile la kwanza ..bJibu lako Mkuu
Kwa idadi ya 400!!!sizani kwani nimewasikia waliopona kuwa wana kadilia walikuwa kama 200,kulingana na maelezo ya source mbali yanaeleza chombo kimezama sababu ya ujazo yani kilipaswa kubeba watu 100 mbadala kikabeba watu 400 na zaidi...sasa tujiulize
1.kama maiti paka sasa inasemekana zmefika 136 na zoez linatarajiwa kuisha leo sa 12 jioni na majeruhi ni 40 tuuh ikimaanisha jumla yao ni 171 labda tu assume kukitokea ongezeko hawatazidi 220..ukitafuta tofauti ya 400 na 220 ni sawa na watu 180 je hao watu waeza wakawa wamepotelea ndani ya maji au tunapotoshwa kwa majibu marahisi juu ha chombo kuzama? mwenye kujua atueleze
Kipaumbele ni mandege na ma SGR, mkitumbukia shimoni au baharini mungu kapenda mkufe tu..Kitengo Cha uokoaji kipo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu Na Mwenye gari alifuta Bajeti ya Maafa tangu kashika sterling Kwa hoja Kuwa enzi zile Za Mkwere watu walikuwa wanapiga hizo hela
Ajali kubwa Kama ile cordination yake haiwezi Kuwa chini ofisi ya RC
YeahLile la kwanza ..b
Vipi umeshaenda mwanza kuiunga mkono serikali?Lile la kwanza ..b
Hahahaaaaa....umejiongeza vizurihapana wote tunatakiwa twende ziwani
Kuunga mkono juhud za serikali
Kwa nn mkuuHahahaaaaa....umejiongeza vizuri
Wewe ni mfanyakazi wa serikali?Am fighting for Dr Shika's justice ⚖
kuuliza ni kosa siku hizi?Hivi lazima uanzishe uzi?
Au na wewe hutaki hili suala liishe kabla hujasema lolote...sasa umeandika nini hapo jamaa.
Unaombolezaje ukiwa kazini. Mimi mgambo wa jihi, nitampigaje marungu mama lishe nikiwa naomboleza bana??!!Kazi Zote Zitaendelea Kama Kawaida Huku Watu Wakiendelea Kuomboleza Ila Siyo Kwamba Watu Wanaofanya Kazi Watapumzika
Serikali Inapopata Tukio Kubwa La Msiba Huomboleza Kwa Kupepea Bendera Nusu Mringoti
Kwa maelezo ya waliopona vyote viwili vimechangia!!! Ila cha ubovu kinawezekana ndio kimepelekea zaidi!! Kwani kuna mmoja amesema kuwa baada ya kukaribia kwenye gati kilikata kona gafla, ambayo ilipelekea gari lililokuwemo na mizigo mingine kama magunia ya mahindi kulalia upande mmoja na kivuko kupinduka!! Sasa hiyo kona ilikuwaje? Ni makosa ya nahodha au ubovu wa kivuko?Unadhani nini kumepelekea Meri kuzama. Je, ni kulemewa kwa meri au ubovu wa meri? Tuanzie hapo.
Hilo ni kweli kabisa na engines zilinunuliwa na serikali sikivu ya JPM na zikafungwa vizuri kwenye pantoni kutekeleza ombi la mbunge lakini kilichosababisha ajali sio ubovu wa engine bali over loadedMakada wa CCM humu JF huwa mnatia huruma, yaani mpo busy kusifia rambirambi za Putin badala ya kufunika uso kwa aibu ya utendaji kazi mbovu wa serikali yenu. Mbunge wa Ukerewe alishatabiri haya na kuomba kivukio kirekebishwe lakini mkaziba maskio....
😁 mbona unaniulizauliza maswali sana unataka nikutumie invitation letter nini? Sema kama unataka uje unywe beers 🍻 mpaka uchanganyikiweWewe ni mfanyakazi wa serikali?