Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

kulingana na maelezo ya source mbali yanaeleza chombo kimezama sababu ya ujazo yani kilipaswa kubeba watu 100 mbadala kikabeba watu 400 na zaidi...sasa tujiulize
1.kama maiti paka sasa inasemekana zmefika 136 na zoez linatarajiwa kuisha leo sa 12 jioni na majeruhi ni 40 tuuh ikimaanisha jumla yao ni 171 labda tu assume kukitokea ongezeko hawatazidi 220..ukitafuta tofauti ya 400 na 220 ni sawa na watu 180 je hao watu waeza wakawa wamepotelea ndani ya maji au tunapotoshwa kwa majibu marahisi juu ha chombo kuzama? mwenye kujua atueleze
Kwa idadi ya 400!!!sizani kwani nimewasikia waliopona kuwa wana kadilia walikuwa kama 200,
 
Kitengo Cha uokoaji kipo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu Na Mwenye gari alifuta Bajeti ya Maafa tangu kashika sterling Kwa hoja Kuwa enzi zile Za Mkwere watu walikuwa wanapiga hizo hela

Ajali kubwa Kama ile cordination yake haiwezi Kuwa chini ofisi ya RC
Kipaumbele ni mandege na ma SGR, mkitumbukia shimoni au baharini mungu kapenda mkufe tu..
 
Kazi Zote Zitaendelea Kama Kawaida Huku Watu Wakiendelea Kuomboleza Ila Siyo Kwamba Watu Wanaofanya Kazi Watapumzika

Serikali Inapopata Tukio Kubwa La Msiba Huomboleza Kwa Kupepea Bendera Nusu Mringoti
Unaombolezaje ukiwa kazini. Mimi mgambo wa jihi, nitampigaje marungu mama lishe nikiwa naomboleza bana??!!

Acheni uhuni
 
Unadhani nini kumepelekea Meri kuzama. Je, ni kulemewa kwa meri au ubovu wa meri? Tuanzie hapo.
Kwa maelezo ya waliopona vyote viwili vimechangia!!! Ila cha ubovu kinawezekana ndio kimepelekea zaidi!! Kwani kuna mmoja amesema kuwa baada ya kukaribia kwenye gati kilikata kona gafla, ambayo ilipelekea gari lililokuwemo na mizigo mingine kama magunia ya mahindi kulalia upande mmoja na kivuko kupinduka!! Sasa hiyo kona ilikuwaje? Ni makosa ya nahodha au ubovu wa kivuko?
 
Makada wa CCM humu JF huwa mnatia huruma, yaani mpo busy kusifia rambirambi za Putin badala ya kufunika uso kwa aibu ya utendaji kazi mbovu wa serikali yenu. Mbunge wa Ukerewe alishatabiri haya na kuomba kivukio kirekebishwe lakini mkaziba maskio....


Hilo ni kweli kabisa na engines zilinunuliwa na serikali sikivu ya JPM na zikafungwa vizuri kwenye pantoni kutekeleza ombi la mbunge lakini kilichosababisha ajali sio ubovu wa engine bali over loaded
 
Binafsi nimeskitishwa sana na baadhi ya wanasiasa Wa kitanzania juu ya walicho kizungumza kuhusiana na ajari ya kivuko iliyotokea Siku ya alhamis huko Mwanza na kupelekea watanzania wenzetu kupoteza maisha.
Ajabu ni kwamba wanasiasa wametumia tukio hili la ajabu kama sehemu ya kujinadi kisiasa kwa kuikejeri serikali bila hata kusubri angalau mda wa siku 4 za maombolezo kupata na report ya ajali kutoka ili kujua chanzo ni nini.

Ningependa wafahamu sio kila kitu ni siasa..mambo mengne niyakushauri na sio kuponda kila juhud inayofanywa

WANASIASA Tambueni kua nyakati zimebadrika..Kalibu nusu ya watanzania wamesoma na wanaweza kufanya maamuzi sahihi..punguzen unnecessary comments ..on everything.
 
Wewe ni mfanyakazi wa serikali?
😁 mbona unaniulizauliza maswali sana unataka nikutumie invitation letter nini? Sema kama unataka uje unywe beers 🍻 mpaka uchanganyikiwe

Are you prefer vodka?
 
Back
Top Bottom