Mkuu samahani ,ilitobolewa akiwa anakarabati? Au makusudi?Binaadam na kusahau kupo
Kuna meli iliokuwa imekula nyomi la watu na mizigo kama MV BUKOBA??
Lawama zilikua kama hizi za Mv Nyerere
Ohh!!meli/fery ilikua Over Loaded!!Ohh,hamna uboreshaji mzuri wa waokoaji.
Tena kibaya zaidi Mv Bukoba waliitoboa kwa moto wa gesi ndio ikazama kilaiiiini,,na maelf ya watu walipoteza maisha
Je kuna hatua zozote zilizochukuliwa kwa waliohusika/kusababisha hio ajali??
Cha msingi tuendelee tu kuwa wastahamilivu na tuzidi kumuomba mola wetu atuepushe na majanga haya
Usicheke sana maana tupo msibani hili janga la wote ujueumeacha nimecheka khaa
Mbwiga inakuuma!!!!Mbwiga ni mamako
Khaaaa! Tumuache kwanzaMhuuuu.... Siku zote alikua wap mbona akuonekana....?
Au hakua kazini kuogopa ukubwa wa kesi ikabidi azamie aonekane alikuepo.....?
Ya Mungu mengi.
Ajali ya majini hata kama unajua kuogelea unaweza kufa, maana inatokea ghafla hujajiandaa hafu wengi waliokufa watakuwa ni wale waliofunikwa na kivukoMaji sio mchezo kama wenyewe wanamaji waoshinda humo kila siku yanawafanya hivyo sijui mimi ambaye hata Swimming pool naliogopa inakuwajee
Mbwiga Mbowe hakupi chochote after.....?!!Yaani watu wanalia wewe unaleta mambo ya itikadi?mpuuzi kabisa na huyo anayekulipa
chanzo cha hbr hiyo kuwa amepatikan injinia wa Mv Nyerere akiwa hai ni Milard Ayo katika akaunt yake ya instagramAcha roho mbaya mkuu
VIDEO: Fundi Mkuu wa MV Nyerere Alphonce Cherehani baada ya kuokolewa, inaelezwa alijifungia kwenye chumba toka walipozama huku mwili wake wote ukiwa umejaa oil. #MillardAyoUPDATES Mhuuuu.... Siku zote alikua wap mbona akuonekana....?
Au hakua kazini kuogopa ukubwa wa kesi ikabidi azamie aonekane alikuepo.....?
Ya Mungu mengi.
Akiwa hai au[emoji293]TETESI!! Engineer Chelehani wa kivuko cha Mv Nyerere ameokolewa mda huu akiwa hai ingawa hali yake siyo nzuri.
VIDEO: Fundi Mkuu wa MV Nyerere Alphonce Cherehani baada ya kuokolewa, inaelezwa alijifungia kwenye chumba toka walipozama huku mwili wake wote ukiwa umejaa oil. #MillardAyoUPDATES Walimuokoa akiwa eneo gani? Yani umbali gani kutoka kwenye eneo la ajali?
Naye amekamatwa!!Nahodha ndio mwenye uamuzi wa mwisho kuondoa chombo.
Mbwiga Mbowe hakupi chochote after.....?!!
Kwani lina maana gani hilo neno?Mbwiga ni mamako
Mkuu samahani ,ilitobolewa akiwa anakarabati? Au makusudi?
Kwani lina maana gani hilo neno?
Na muasisi wa mgawanyiko huu anafahamika.Mgawanyiko ulianza mara baada ya uchaguzi wa mwaka 2015. Sasa hivi Taifa liko vipande vipande.