Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

20:00 - NAHODHA WA KIVUKO ANASHIKILIWA KWA UCHUNGUZI
Nahodha wa MV Nyerere anashikiliwa na vyombo vya ulinzi kwa kosa la kumuachia mtu asiye na uwezo(Deiwaka) kuendesha kivuko na yeye kutosafiri.
hapa mnamanisha nini?kulikuwa na manahodha wangapi?
 
na hawa walikuwa manahodha wa wapi?
 
Ila hawa wajinga wabishi sana.
Wezi wa tisa huu magufuli aliwaongelea sana alipoenda kuzindua ujenzi wa meli. Akasema anajua pesa inavyopigwa akwaambia waanze kutumia electronic tickets.

Ingekuwa mm ndio rais ningenyonga wote hawa wahusika.
 

Mv Nyerere imekuwa ikibakwa sana sasa imechoka! Imeonewa sana kwa mudu mrefu mon…hao waliokuwa wakiendesha wawajibishwe!
 
kama magufuli anavyopiga hela zetu za kodi??!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…