mbikichooo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 265
- 144
Jamani watanzania huu sasa ukatili capacity 100 kubeba miatatu duh this is bongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa mnamanisha nini?kulikuwa na manahodha wangapi?20:00 - NAHODHA WA KIVUKO ANASHIKILIWA KWA UCHUNGUZI
Nahodha wa MV Nyerere anashikiliwa na vyombo vya ulinzi kwa kosa la kumuachia mtu asiye na uwezo(Deiwaka) kuendesha kivuko na yeye kutosafiri.
Asante wadau wa elimu tuliweke kwenye mitaala ya Shule.Ipo haja kwa hapa tulipofikia ikawa ni lazima kwa kila mtu ajue kuogelea ili kupunguza vifo vya majini
na hawa walikuwa manahodha wa wapi?0820HRS: Nahodha na Mkuu wa Kivuko cha MV Nyerere ni miongoni mwa watu waliofariki
Nahodha na Mkuu wa Kivuko cha MV Nyerere kilichozama juzi kikiwa safarini kutoka kisiwa cha Bugorora kwenda Ukara wilayani Ukerewe, Mwanza, ni miongoni mwa watu waliofariki dunia katika ajali hiyo.
Akienda nazimiaRais magufuli anatakiwa aende eneo la tukio soon.
just imagine kila ruti una za kwako mara mbili ya kile unachopeleka serikalini , mfano ukipiga ruti 8?Jamani watanzania huu sasa ukatili capacity 100 kubeba miatatu duh this is bongo
Kufanya vitu kwa mazoea ni hataree walahi!Kapiteeeeeeni mwenyewe alisharidhika akawa anakula bata akatoa deiwaka.
Kudadeki
Just imagine capacity yake ilikuwa watu mia, ina maana kila wakati walikuwa wakiwasilisha mauzo ya 100 lkn wanabeba zaidi ya abiria 300, hii excess ilikuwa inawakilishwa kwa nani? je, mizogo excess ilikuwa inawakilishwa kwa nani? tunapofanya uchunguzi wa hili jambo turudi juma kuuliza walianza kubeba hii excess tangu muda gani na walikuwa wanaiwakilisha kwa nani? iundwe tume kuchunguza kwanza hizi pesa zilikuwa zinaenda kwa nani, na hao watu wakamatwe na wafilisiwe. Mods msiunganishe huu uzi, tuanzie hapa kwa uchunguzi ili wale samaki wakubwa wapatikane.
kama magufuli anavyopiga hela zetu za kodi??!!!Just imagine capacity yake ilikuwa watu mia, ina maana kila wakati walikuwa wakiwasilisha mauzo ya 100 lkn wanabeba zaidi ya abiria 300, hii excess ilikuwa inawakilishwa kwa nani? je, mizogo excess ilikuwa inawakilishwa kwa nani? tunapofanya uchunguzi wa hili jambo turudi juma kuuliza walianza kubeba hii excess tangu muda gani na walikuwa wanaiwakilisha kwa nani? iundwe tume kuchunguza kwanza hizi pesa zilikuwa zinaenda kwa nani, na hao watu wakamatwe na wafilisiwe. Mods msiunganishe huu uzi, tuanzie hapa kwa uchunguzi ili wale samaki wakubwa wapatikane.
hata kama mkuu, kwa hiyo kila siku ya gulio walikuwa wanapiga?Hiyo ilikuwa ni siku ya gulio!
Sio kila siku inajaa hivyo!
Kwani gulio lilimefanyika mara moja tu?Hiyo ilikuwa ni siku ya gulio!
Sio kila siku inajaa hivyo!
Ndio ile anaogopa kuona maiti nyingi?Akienda nazimia
Ofukoziiiii!hata kama mkuu, kwa hiyo kila siku ya gulio walikuwa wanapiga?
Take a wild guess walahi!Kwani gulio lilimefanyika mqara moja tu?