Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Poleni mliopatwa na ajali.. Mungu awatie nguvu wafiwa wote.
Japo kila awamu wanatumwaga majini hawa wateule wa NEC.
 
Sumaye hakuvuta.
Pengo hakuvuta.
Kijo Bisimba hakuvuta.
..the list goes on. Acheni fikra za kichawi.
 
Hivi vivuko vinahitaji kua na vitu vya kujiokoa wakati wa dharula mfano maboya. N.k. mbaya zaidi kununua mali used. Meli, ndege, vivuko n.k serikali iangalie sana hili suala. poleni sana wafiwa.
 

Hawajapata idadi kamili ya watu waliokuwemo?kwani hicho kivuko ni sawa na daladala la kariakoo ambalo watu hupanda tu?
Ina maana ajali za M.V. Bukoba na Spice Islanders hazijawafunza wahusika wa meli kwenye kutunza kumbukumbu za wasafiri wao.
 
Dah....akiongeza tena kukaza kiduchu tu...walai wapigaji wataanza kuokota makopo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13]
 
Hii mbona inatisha!
Ngoja tusubiri taarifa halisi ili tujue chanzo hasa cha ajali,lkn niwaombe wahusika waje na taarifa sahihi na pale ambapo kutakuwa na uzembe wa kwa watendaji hatua stahiki zichukuliwe..Zaidi ya yote nitoe salaam za pole kwa ndg zangu Wakerewe,maana inaweza kuwa msiba wa kisiwa kizima ikiwemo na sisi tulioko nje ya Ukerewe lkn tukiwa na ndg zetu huko.
 
Hivi vivuko vinahitaji kua na vitu vya kujiokoa wakati wa dharula mfano maboya. N.k. mbaya zaidi kununua mali used. Meli, ndege, vivuko n.k serikali iangalie sana hili suala. poleni sana wafiwa.
Serikali itoe kifuta machozi kwa wafiwa na majeruhi na walipwe bima. Wafiwa waing'ang'anie serikali ikibidi hata kwenda mahakamani waende ili wapate haki yao. Maana tatizo ni ubovu wa kivuko. Please wanasheria baada ya msiba mtoe msaada wa kisheria kwa hao wafiwa ili kufanikisha jambo hilo. Uzembe umekuwa too much.
 

Idadi kamili wanayo sema wanaona soo....maana sikuizi ili upande meli lazima ujiandikishe majina na uwe na kitambulisho
 
Kwenye uzembe kama huu kuna viongozi hawapaswi kusubiri kufukuzwa kazi bali wajiuzuru tu kama sehemu ya kuwajibika.
 
Ina maana ajali za M.V. Bukoba na Spice Islanders hazijawafunza wahusika wa meli kwenye kutunza kumbukumbu za wasafiri wao.
Maamlaka za bandari Zanzibar na Dar kwa kiwango kikubwa wamedhibiti upandaji meli kiholela uzembe kanda ya ziwa.
 
Hao sita sio watu nafikiri ni magari makubwa Yale TATA au Scania kivuko kile kimeondoka na watu si chini ya 30 siasa mpk kwenye maisha ya watu!!

Wanajaribu kuneutralize situation but only fools can understand them not us anymore!!

Yaani wanakalia misifa tuuu!!wanakera sana hawa watu
 
Nasimama upande wako Bongolala, mamilioni yanatumika kununua wabunge na madiwani wa upinzani na kulazimika kurudia chaguzi kwa gharama kubwa, Pole kwa wote waliohusika katika kadhia hiyo, Mungu awalinde ambao bado wako hai.
Bongolala ni wewe na familia yako walahi!
Shwain kuba kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…