Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Wangekuwa na ndugu kwenye kivuko hicho tungeongea lugha moja.
It doesn't make any sense....mkuu wa mkoa kwa hili nitamlaumu sana.....zoezi linasitishwaje kivuko kimezama na watu wengi hivi
 
bado sijaelewa! Safina ya Nuhu na Sumatra na hicho ulichoandika
 
Mkuu ungeenda kudive ili uokoe
 
Majibu ya sasa ya Mongela ni baada ya kuteleza na kusema sababu ni giza. Kilicho dhahiri ni kwamba taifa halina vikosi vya uokoaji imara. Uokoaji ni vita, sawa na kuvamiwa. Utalala wakati adui anakuja? Divers walichoka, no support team, hapakuwa na namna.
 
Sumatra hawapewi fedha za kutosha za usimamizi, pesa nyingi inanunulia ndege na wapinzani
 
bado sijaelewa! Safina ya Nuhu na Sumatra na hicho ulichoandika
Mamlaka iliyooe kusimamia ni SUMATRA majini na nchi kavu lakini uzembe wao umekubuhu chombo kihajazwa kupita kiasi hawakagui wao kazi yao ni kutega pale ubungo.
 
Hivi kuna sababu yoyote ile ya msingi kwa nini Mkurugenzi wa OSHA na menejimenti yake wasiwajibike?

Mkurugenzi wa OSHA anawajibika kwenye wizara iliyo chini ya waziri Jenista Mhagama

sasa cha kujiuliza je, ni kweli huyu Mkurugenzi na menjimenti yao wamewasilisha barua zao za kuwajibika/kujiuzulu kwa Waziri Mhagama na kama wamefanya hivyo mbona umma haujajulishwa? Na je waziri Mhagama alichukua hatua gani?


Je hii OSHA is it good for purpose?
 
Angewaambia pia wajijue jue..(kwa sauti ya Mbowe)

Hapa kazi tu
Wewe jitu huwa nakuchukia..hivi kwa mfano jiwe akimtumbua mkuu wa mkoa wa Mwanza sasa hivi kwa kutoa ile kauli ya kusitisha zoezi la uokoaji..na kusubiri uopoaji wa miili ya wahanga kesho yake..hamtaanza kumgeuka kweli na kuanza kumwagia misifa Jiwe?..kweli fisiem ni mafisi tu!
 

Kwanini hukwenda wewe kuokoa au hata kuvuta ndugu zako pia kama uliona ni vyema wangeendelea.. kwani leo umekatazwa pia.. jipange nenda usiku ukafanye yako.. wala hakuna atakaye kujali utakuwaje.. usisahau kujivalisha matairi mwilini maana hata kuogelea hujui na boti unaisikia kama usikiavyo baisikeli.
 
Pole sana Bila bila
 
Naona mfanyakazi wa OSHA unatetea ujira wako
 
It doesn't make any sense....mkuu wa mkoa kwa hili nitamlaumu sana.....zoezi linasitishwaje kivuko kimezama na watu wengi hivi

Ilikuwaje hadi leo hujajitolea kwemda kuokoa usiku.. mna jua kuandika huku nyuma hata majirani zenu hamuwajali.. kuwa umbele na kuhatarisha maisha yenu.. mmejaa porojo tu

Acheni kuendelea kuumiza wafiwa na maneno yenu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…