Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Tanzania siku hizi kumekuwa na watu wanatetea jambo kwa maslahi binafsi.yuko tayari akukane au atunge uongo kwa faida yake binafsi huku huo uongo ukiwauumiza hata ndugu zake wa karibu.je kutetea Shida au maafa kwa mwenzio ndiyo kujenga mshikamano wa kitaifa au kubomoa
Neno la siku
 
Mamlaka iliyooe kusimamia ni SUMATRA majini na nchi kavu lakini uzembe wao umekubuhu chombo kihajazwa kupita kiasi hawakagui wao kazi yao ni kutega pale ubungo.
mkuu kuna mtu anatumia device yako au ni wewe mwenyewe? ngoja kwanza naomba updates za kwa museveni hali ipoje? au ma elite wetu wamesha fanya yao huko?
 
Ilikuwaje hadi leo hujajitolea kwemda kuokoa usiku.. mna jua kuandika huku nyuma hata majirani zenu hamuwajali.. kuwa umbele na kuhatarisha maisha yenu.. mmejaa porojo tu

Acheni kuendelea kuumiza wafiwa na maneno yenu..
Umerogwa wewe sio bure hata hujitambui.......una element za kichawi sana
 
Sana yaani nabado maana hawataki kubadilika na kujifunza kutoakana na makosa au matukio
Tena ni aibu kubwa, yaani unasitisha shughuli za uokozi kwa sababu ya giza!! Hebu tukumbuke changamoto walizokutana nazo askali wetu wakati wa vita na Idd Amin, kama viongozi wetu wangekuwa na akili ndogo kama ya hiyo ya kusingizia giza Idd angeingia hadi vyumbani mwetu, ndugu zangu, Tanzania ni yetu sote, mtu akikosea aombe radhi si kumtetea kama mnavyofanya. Kiukweli mkuu wa mkoa alikosea saana, naamini kuna watu tumewaua kwa kusitisha lile zoezi, na Mungu kathibitisha kupitia huyo Eng aliyekutwa hai huku akikaa ndani ya maji kwa masaa zaidi ya 48
 
Sioni uhusiano wa swali lako na maelezo yangu
Costa concordia pia ilikuwa ni CCM ndio iliyokuwa madarakani.
costa-concordia1-e1515690349220-1280x640.jpg
 
Mamlaka iliyooe kusimamia ni SUMATRA majini na nchi kavu lakini uzembe wao umekubuhu chombo kihajazwa kupita kiasi hawakagui wao kazi yao ni kutega pale ubungo.
Hivi Sumatra ni ya Serikali au taasisi binafsi Mkuu? Naomba ufafanuzi kabla sijachangia.
 
Yaani kuna watu hawana akili... Siasa zitawaua... Was...e sana... Yaani... Pumb..v kabisa... Kazi kutetea uzembe tu... Kwa hali hii tunahitaj miaka 200 ili kuendelea
 
Utaratibu wa mazish kama unavyoonekana kwenye tv ungeweza kuwa bora zaidi
 
Back
Top Bottom