Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!


Matangwa wewe acha tu, kuna watu wameamua kutetea huu ujinga. Binafsi sina tatizo na kejeli za siasa ila kejeli za msiba, si sahihi kabisa. Tutafundishana adabu 2020. Zinatolewa sababu za kitoto sana za kwa nini CDM wameamua kutoshiriki huu msiba wa Taifa, tena kwenye jimbo lililo chini ya CDM.

CDM wana amini wanapendwa sana wasichojua kinachopendwa si CDM ila ni matendo ya CDM. Nakumbuka Dr Slaa aliongoza mazishi ya Arusha baada ya lile bomu la Olesetini mbele ya mtutu wa bunduki, CDM wa 2012 walikuwa hawaogopi bunduki ila CDM 2018 wanaogopa maneno ya kudhalilishwa na hapo hapo wanategemea wananchi tutakuja kuwasaidia wakiwekwa angle. Muda utatoa somo tu kwa hizi kejeli na dharau.

Kingine ambacho viongozi wa CDM hawajifunzi ni wananchi ambao ni wapenzi wa upinzani wapo loyal kwa malengo yao na si kwa chama. NCCR Mageuzi ilidondoka ikaja CUF, CUF ikadondoka ikaja CDM na CDM kwa hichi kibri inabidi idondoke tupata chama bora zaidi.
 
Well said mkuu!
 
Kikubwa ni serikali imekiri kuwa kivuko kilizidisha uzito.
Au kuna miili imefichwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…