silver_back
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 833
- 813
Kwa nini hao wapinzani wananunulika? Hivi umejifunika kitambaa cheusi usoni huoni kuwa hili ni tatizo pia?Wapinzani wataendelea kuikosoa na kuielimisha Serekali ila kiburi cha serikali ya Ccm mavuno yake ndio hayo.Hela wanazotumia kununua Wapinzani zingeweza kununua vivuko hata viwili.
Wewe Sababu ya ajali umeijuaje kama unasema tusubiri tume tupate majibu kwa nini kivuko kimezama?Subiri tume itakuja na majibu. Utapata majibu ya kwanini kimezama, mbunge ameongea sababu nyingine na ajali imeletwa na sababu tofauti.
Sawa.Ww si ndio robot uliyowekwa kujibia humu?
Rais amewakataza kutafuta kiki za kisiasa. Au ulidhani anaongelea upande mmoja tu?Nimejiuliza sana ili swali hasa baada ya kusoma katika gazeti la Chadema liitwalo Tanzania Daima kwamba uongozi unakaribia kumsajili maalim Seif katika chama chao. Ndiposa najiuliza mgombea urais mtarajiwa ndio kipaumbele cha Chadema kiasi cha kumtelekeza mbunge wa Ukerewe my Joseph Mkundi?!!!
Imnunulie pombe dawa!Serikali imeelekeza matumizi ya rambirambi wewe unabeza sasa mlitaka inunulie pombe?
So wasipochanga hautajengwa jingalaoMnara wa kumbukumbu ni sehemu ya heshima kwa marehemu na faraja kwa ndugu
We mwanamama kauli hizo sio nzuriMlitarajia kupata tender ya kutengeneza majeneza?
Wanataka kurudia yale yale ya luck vicent. Watafanya wananchi waogope kuchangia maana wameshasema hela huwa zinaenda wapi.Sasa nn maana ya rambi rambi? Hii serekali inataka kujiongezea mzigo wa dhambi kila siku!! 7rambirambi ni kwa ajili ya kuwafariji wafiwa hiyo ya kujenga ukuta kwani serekalini hakuna MFUKO WA MAAFA?
jogi, huyajui majiKukamata mitambo ya gongo zinatumika helikopta!
Kamati ya ulinzi inatumia mtumbwi kufika eneo la ajali ikae kutoa maamuzi ya kuomba msaada!
Maji mnayataka yapige pause kusubiri likamati lenu la kisiasa linalotumika kudhibiti upinzani?
Hii kamati ingeweza ikafanya kikao kwa Skype ikapitisha angalau azimio la kuomba msaada haraka.
Tungeokoa maisha.
Kichwacho kimejazwa makamasi usitegemee kuwaza kitu kizuri isipokuwa makamasi.
Mnara unawafariji vip.wanandugu? Mzee wako akifariki tukimjengengea mnara nyumbani utasaidia nn?Mnara wa kumbukumbu ni sehemu ya heshima kwa marehemu na faraja kwa ndugu
Mbona umemjib rubish wkt umeulizwa swali rahis?Mlitaka rambi rambi ikanunulie pombe?
"rikiboy, wapi umesikia kamati iliundwa? kamati ya ulinzi na usalama ipo siku zoteKuokoa watu mpakaa Kamati iundwe,!??? mama...eee zaoo kabisa wapuuzii walee...yanii yanatia hasiraa balaaa
Kwa hiyo unataka usemeje?? Acha ujuaji..watu wameingia chini wametafuta..unadhani wangewaacha tu kama wameonekana..au wangekuwa na nia mbaya si wangeacha hicho kivuko hata mwezi..Sasa wewe hiyo subiri kivuko kiinuliwe utaona maajabu yake, kunaweza kuwa na watu mia moja na ushee wamekwama ndani, mark my word! Kuna tukio la kustaajabisha zaidi linakuja baada ya kivuko kubinuliwa.
Sidhani kama wapinzani wanaingia kwenye hii mada maana mheshimiwa rais alishasema msiba huu usiwe uwanja wa siasa.Ulitaka iweje, kwani nani aliyekuambia mfuko wa maafa kazi yake ni kujenga mnara wa kumbukumbu! Tanzania kwani tuna wapinzani…tuna wapinga yote…aibu yao! Hao wahanga watapewa mkono wa pole!
Kaondoka ndunguru SUMATRA, nilikuambia mbuzi wa kafara lazima atoke kusiniNaye he has to take resposility
Bado hujajibu swali alilokuuliza...Serikali imeelekeza matumizi ya rambirambi wewe unabeza sasa mlitaka inunulie pombe?