Dr Programmer
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 313
- 343
Ulitaka iweje, kwani nani aliyekuambia mfuko wa maafa kazi yake ni kujenga mnara wa kumbukumbu! Tanzania kwani tuna wapinzani…tuna wapinga yote…aibu yao! Hao wahanga watapewa mkono wa pole!
Matusi si kitu kizuri kwenye hoja kama hizo. Ungemjibu kwa hoja badala ya kutukanaKwani siku za nyuma walikua wanakula kende zako?
Lakin hero mnara utasaidiaje familia za wafiwa maana wengine wameondokewa na watu ambao ndio tegemezi kwa familia?matumizi ya rambirambi ni kutatua yatokanayo na msiba, na kama mnara ni moja wapo ya yatokanayo basi itatumika pia kwa hilo.
Viongozi wake wa Chadema hawakutambua hilo, badala ya kumliwaza, wamemtosa.Angesema tofauti na alivyosema angekiona cha mtema kuni, na kukamatwa then kesho angepandishwa mahakamani
Alipokufa mbwa wa Nasari walimzika kitaifa na makamanda walihudhuria. Lakini hawa wapiga kura wao hayawahusu. Kwao mbwa ana thamani kuliko wapiga kura waoNimejiuliza sana ili swali hasa baada ya kusoma katika gazeti la Chadema liitwalo Tanzania Daima kwamba uongozi unakaribia kumsajili maalim Seif katika chama chao. Ndiposa najiuliza mgombea urais mtarajiwa ndio kipaumbele cha Chadema kiasi cha kumtelekeza mbunge wa Ukerewe my Joseph Mkundi?!!!
Huko ukerewe si sehemu ya "CHAGA LAND"Hawa bado wana ile Sera ya majimbo?
Kwani walipoahirisha zoezi la uokozi kwa sababu ya giza walikuwa na nia nzuri?Kwa hiyo unataka usemeje?? Acha ujuaji..watu wameingia chini wametafuta..unadhani wangewaacha tu kama wameonekana..au wangekuwa na nia mbaya si wangeacha hicho kivuko hata mwezi..
Hivi wewe umeenda shule wewe?Unaelewa kwanini kivuko kinaelea na shilingi inazama?kama kinabeba watu mia na walikuwa zaidi ya 400 unategemea nini?Au unasubiri Tume ya polisi na wanajeshi was daresay la 7 wakupe ripoti?Wewe Sababu ya ajali umeijuaje kama unasema tusubiri tume tupate majibu kwa nini kivuko kimezama?
Mbwa wa Nassari ana thamani zaidi ya wala samaki?!!Hasira za kukosa nafasi ya kuwadhalilisha.
How often wakiwa katika maeneo yao (kama mlivyowaamulia) mmewadhalilisha na kutowapa heshima zao?! Sembuse huko mbali na maeneo yao ya kibunge??
Wote tunajua kuwa the moment wangetia team lazima hata gathering ndogo tu ya kusalimiana yangeitwa maandamano.
Kila mzt aliyeguswa na msiba huu amekuwa na MTU wa kulaumu au kunyooshea kidole kama mzembe- ndio maana mkuu sana kavunja bodi ya temesa- but viongozi wa upinzani walipotoa mtazamo wao immediately imeonekana ni kutafuta kick za kipolitic, sasa ulitaka waje mseme zaidi??!!. Kuhani msiba huwa hakuishi- watakuja siku nyingine na wengine.
Au watamsindikiza mkuu sana atakapoenda kuwasalim na kuwapa kivuko kingine.
Above all, ukerewe wala samaki- akili kubwa wale. Hawana utapia mlo, hizi propaganda za ovyo haziwafanyi kitu.
Wana uwezo was kudeal nazo na kujua pumba ni IPI na mchele ni UPI.
tatizo tuna rais na waziri mkuu wenye asili ya umasikini, Ni muhimu sana kuwa na kiongozi mwenye ka uwezo kidogo sio hawa wavaa ndala wa mikoani.Ni Hatari san kwa taifa changa kama hili
Kuna binadamu anaweza ishi chini ya maji bila vifaa vyovyote vya upumuaji?Kivuko kilipinduka saa 8,unafikir masaa manne mbele bado kulikua na kitu kinachoitwa UOKOAJI?Au zoezi lilikua UOPOAJI?Kwani walipoahirisha zoezi la uokozi kwa sababu ya giza walikuwa na nia nzuri?
Porojo hizi, responsibility inaanza kwa waziri, kwa tanzania ya sasa ukanda una priority kila mtu anajuaKumtumbua Waziri,Naibu Waziri,katibu si vyema kabisa na naamini serikali haitafanya hivyo..Hili swala litawakaanga SUMATRA na watu wa OSHA na wakuu vitengo vya uendeshaji wa Meli na Vivuko Ziwa Victoria.Tayari Serikali imeamka na jamaa wa SUMATRA.
Kitu mi napenda Serikali itazame ni kuwepo Afisa wa Polisi katika kila kituo cha Kivuko Mwenye dhamana ya kuweza kuzuia Meli au Kivuko kufanya safari atakayepiga simu Direct kwa Waziri anapobaini tatizo kama hili na ukiukwaji wa sheria ya usalama katika vyombo.Kujenga Ofisi za uhakika na watendaji making, kuweka kitengo cha Uokoaji na dharura katika kila eneo Vivuko vinafanya kazi hii itaongeza ufanisi