silver_back
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 833
- 813
Afu ukute hapo kivukoni pana wale askari wa jkt kama pale kigamboni wanaangalia tu wanavyojazana kwenye kivuko bila kuwazuiaHahahaha Nimekupata mkuu! Hii serikali haina namna ya kujiepusha na lawama, viongozi kila wakati wanaharibu tu
Mi nasapoti. Rais ajiuzulu, aiwezekani watu wengi wafe hivyo halafu na Rais yupoHuu ni msiba mkubwa sana na nafikiri ktk awamu hii ndo wa kwanza mkubwa kabisa! Nategemea kumuona Rais wetu mpendwa na makamu wake na ikiwezekana na waziri husika wawe Mwanza kujionea wenyewe ikiwemo kuwawajibisha wahusika wote ikiwezekana na mkuu wa Mkoa kuwekwa pembeni!
yule mpumbavu hivi alikuwa ni mwanajeshi au mfanyakazi wa hao wajinga temesa au alikuwa mvuvi tu aliyejiongeza?ila ujue kuna marine kabisa wanalipwa mishahara kuhusu mambo ya uokoaji.
Na wapo.
Duh.Mi nasapoti. Rais ajiuzulu, aiwezekani watu wengi wafe hivyo halafu na Rais yupo
Amefariki ndioNategemea kusikia naodha naye amefariki maana nasikia naodha lazima awe mtu wa mwisho kutoka chomboni.
Sasa mpk watu wote hao wamekufa nategemea naye amefariki otherwise ajibu maswali yote yatakayo husisha kuzama kwa kivuko hiki.
sijapita hapo mv magogoni tangu daraja lijengwe.... hivi bado hyo tabia ya abiria kukimbia wakati wakutoka kama wanafukuzwa au sijui kama wanawahi wapi ipo tuYeyote aliyehusika kuruhusu ubebaji huo wa abiria awajibishwe.
Red: Wakazi wa kigamboni
Na wananchi pia tuko wazembe sana. Kuna vitu tunachukulia poa tu au tunaona ni sehemu ya starehe. KUJIFUNZA KUOGELEA. Watumiaji wengi wa hivi vivuko asilimia kubwa ni wakazi wa hayo maeneo, yaani kutumia vivuko ni sehemu ya maisha yao ya kila siku kama sio kila wiki. Maji ya ziwa, bahari ni sehemu yao, wajifunze kuogelea. Kuogelea ni kama kujifunza baiskeli, ukijua umejua. Hausahau hata usipoogelea miaka mingi kisha ghafla ukatupwa majini.poleni sana! uzembe umehusika watu wangeweza kuokolewa 50mita sio mbali
Nguvu zao zote wamezielekeza kwenye kuiba kurapoleni sana! uzembe umehusika watu wangeweza kuokolewa 50mita sio mbali