boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,287
- 4,738
Ana wanaume wengi huyo unafikiri anajali kufiwa na mumeAngekufa mme wako ungetia akili, unatetea Uzembe?
Kuna siku utatia akili tu.
Rejoice as you are not among the victims.
Haufi banaHuwezi jenga daraja apo ww, uchumi Wa inchi utakufa, kama unaogopa pantoni LA pale pita darajani kule shimo LA udongo
Hasa kijiji cha Bwisya na Nyang'ombe hali ni tete. Kuna familia wamepoteza maisha watu 5 kijiji cha Nyang'ombeHabari mbaya hizi jamani. Napiga picha pale Ukara, karibia kila familia wanamsiba, hakuna wa kwenda kumliwaza mwenzie!!!
Nyinyi mijitu ya chadrama kweli mnapenda drama tu walahi!
Pathetic DNA walahi
MkuuYani Tanzania tupo nyuma katika kila kitu.
Picha hiyo ya wanajeshi wakiokoa sio picha ya tukio la jana,lakini kwa upopoma na uvivu wa baadhi ya vyombo vyetu vya habari wameipakua mitandaoni na kuitumia kama ya jana.
Ukifuatilia Media za Kenya ndio utagundua ni jinsi gani Tanzania hakuna vyombo vya habari.
Yaani Huyo ISIS kichwa chake kinashilia masikio, pua na mdomo tu.Hiyo saf inatoka wap mkuu
Mbona unakua mbumbu na ziro kichwan kias hcho ...
Huwa nafikiria sana hivi una hata mama wewe au mdg
There is no line btn you people and witches
Sasa we mrwanda nae hiyo "Swafii" inatoka wapi?Swafiiii sana walahi
Wangewasha hata mishumaa basi.Jamani mlitaka sfanye nini wakati hakuna vifaa vya kuokolea muda huo?? Na sio kwamba atakuwa alijiamulia tu mwenyewe, hao wazamiaji hawana vifaa vya kufanyia kazi kwenye mwanga itakuwa gizani?? Ni aibu kwa nchi, hatuko tayari kwenye majanga!! Ya nchi kavu tu yanatushinda itakuwa ya majini??