Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekufa mme wako ungetia akili, unatetea Uzembe?Jinga kuu wewe walahi!
CCM anzeni kujiandaa kwa jezi na bendera zenu kwani hao walikuwa wapigakura wenu.Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema mazishi ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya Mv.Nyerere iliyotokea Septamba 20 huko kisiwani Ukara, Ukerewe mkoani Mwanza yatakuwa ya kitaifa ambapo viongozi wakuu wa kitaifa wanatarajia kushiriki mazishi hayo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe.
Akiongea na ITV Mhandisi Kamwelwe amesema shughuli za mazishi hayo zitagharamiwa na Serikali na kwamba utaratibu kamili wa eneo yatakapofanyika mazishi hayo utatolewa baadaye.
Hata hivyo Mpaka sasa zoezi la uokoaji na uopoaji wa miili ya watu waliokuwa kwenye kivuko cha MV.Nyerere linaendelea ambapo miili 94 ya watu imeopolewa na waliookolewa wakiwa hai wanazidi 40.
Vikosi vya uokoaji mkoa wa Mwanza vimeongezewa nguvu na vikosi vya mkoa wa Mara katika eneo la tukio ili kuongeza kasi ya kuopoa miili ya watu waliopinduka na kivuko hicho.
Aidha uongozi wa wakala wa meli mkoa wa Mwanza umetambua wafanyakazi wa kivuko watano ambao wamepoteza maisha akiwemo nahodha, fundi, Karani, mlinzi na mkuu wa kivuko, Kivuko hicho kilikuwa na wafanyakazi wanane.
Mamia ya wakazi wa Ukerewe wamekusanyika nje ya kituo cha afya cha Bwisya kutambua miili iliyoopolewa kwenye ajali ya kivuko cha MV.Nyerere iliyotokea wakati wakisafiri kutoka kisiwa cha Bugorora kwenda Ukara kwenye gulio.
Mwandishi wetu aliyepiga kambi katika eneo hilo ametueleza kuwa wengi wa walioopolewa hadi sasa ni wanawake.
mambo mengine ni magumu sana kulaumiana. mfano unakuta hakuna kitabu kinachoonyesha kuwa tiketi zitauzwa 100 tu. na zikiisha hakuna zingine. mfano tena unakuta hakuna mtu wa kukagua kama kila anaeingia ana tiketi. mfano wa tatu ni pale ambapo hakuna mashine ya kupima uzito mizigo inayoingia. na shida yetu sisi watanzia kinachotuponza ni huruma. mtubanakuambia nisiposafiri leo nitakosa hata pa kulala na sina hela hata ya kula halafu anaonewa huruma anaingia. matokeo yake tunajazana. ila mtu angejua kuwa kosa la kujaza hata mtu mmoja zaidi ni kufukuzwa kazi asingekuwa na huruma.Ila hii ishu ya kuuana kwa makusudi au sijui nimeseme kuuana na kujiua wenyewe sijui itaisha lini, hata mv bukoba tatizo lilikuwa ni kuzidisha watu, na hii nayo hivyo hivyo, hivi kweli kivuko cha kubeba watu 100 kinabeba watu 400? hakuna ukaguzi kwenye hivyo vituo?
Labda kwako na familia yako milele yote walahi!It always gets better before it gets worse. This is Tanzania
mambo mengine ni magumu sana kulaumiana. mfano unakuta hakuna kitabu kinachoonyesha kuwa tiketi zitauzwa 100 tu. na zikiisha hakuna zingine. mfano tena unakuta hakuna mtu wa kukagua kama kila anaeingia ana tiketi. mfano wa tatu ni pale ambapo hakuna mashine ya kupima uzito mizigo inayoingia. na shida yetu sisi watanzia kinachotuponza ni huruma. mtubanakuambia nisiposafiri leo nitakosa hata pa kulala na sina hela hata ya kula halafu anaonewa huruma anaingia. matokeo yake tunajazana. ila mtu angejua kuwa kosa la kujaza hata mtu mmoja zaidi ni kufukuzwa kazi asingekuwa na huruma.
Kaka nadhani hapa tungemhukumu kitaifa zaidi,kizalendo na kiutu zaidi..Ushaona ccm wakawa na uchungu na uhai wa binadamu
Kusema vifaa na giza ni hoja dhaifu sana.Jamani mlitaka sfanye nini wakati hakuna vifaa vya kuokolea muda huo?? Na sio kwamba atakuwa alijiamulia tu mwenyewe, hao wazamiaji hawana vifaa vya kufanyia kazi kwenye mwanga itakuwa gizani?? Ni aibu kwa nchi, hatuko tayari kwenye majanga!! Ya nchi kavu tu yanatushinda itakuwa ya majini??