Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Imewachukua siku mbili kufanya maamuzi? Yule wa magogoni anaishia kwenye Twitter. Hii serikali ya ovyo sana.
 
hi kauli mbona tata?tunataka kusikia wangapi wameokolewa wangapi wamekufa na nn chanzo cha ajali.majeneza cyo ishu
 
Yani Tanzania tupo nyuma katika kila kitu.
Picha hiyo ya wanajeshi wakiokoa sio picha ya tukio la jana,lakini kwa upopoma na uvivu wa baadhi ya vyombo vyetu vya habari wameipakua mitandaoni na kuitumia kama ya jana.


Ukifuatilia Media za Kenya ndio utagundua ni jinsi gani Tanzania hakuna vyombo vya habari.
Ni kweli kabisa hata live coverage hakuna
UKARA3.jpg
UKARA2..jpg
nu4TnWOOmqrTyqZCdtp0J0ts8x3HJuLCz_yFBpTCzeEKjd5xzEXxVfKwHcPLyWLGa86EqymeneP1L7kqaMU59K4LtNz8yp...jpg
 
YAANI HIZI NI KAULI ZA WAZIRI WANGU AU NIMEMKARIRI VIBAYA?,sasa kwenye death certificates za waliokufa ataandika nini?je wameshafanyiwa pathological test hawa wafiwa tayari?haraka ya nini bila kufuata utaratibu?na kweli anafikiria kujiuzuru kutokana na ajali hii ambao ingeepukika kama taratibu zingefuatwa?ukanda wote wa ziwa Victoria hatuna polisi maji wenye mafunzo na vifaa vya uokoaji,bali tuna maelfu wa FFU wenye buti na mabomu ya machozi!!tumeoza mno na hatutaki kujifunza ili kuzuia hizi ajali na tukumbushane hapa ajali ya MV Bukoba bila ya ile picha kupigwa na mwandishi aliyetokea Kisumu kwa kukodi boat yake tusingekuwa kabisa na kumbukumbu wakati ile meli inazama,ndio maana kumbukumbu zote inatumika picha moja wakati meli ilishapinduka,aliyetologa kweli ameshafariki.
 
Una uhakika 100% hakuna alie hai kwenye hicho kivuko?
Dak mbili tu kwa mtu wa kawaida hazimalizi ndani ya maji sembuse masaa 24? mnashangaza sana. Hata kama waokoaji wangepeleka kwa chop maafa bado yangekuwa yaleyale tu maana chombo kilipinduka suddenly na kufunika watuna dakika 10hata daiva mzoefu hamalizi nani ya maji lazima afariki maana hatumii gills kupumua, lawama nyingine za kipuuzi kabisa.
 
Mnawazawadia majeneza!?
Yaani sijui na nchi za wenzetu wanafanya press release za namna hii.
Sasa sijui walidhani sisi tutawachoma moto Ndugu zetu tutunze majivu.!?
Yaani habari za msingi hazitoki ila za kujifurahisha ndo kipaumbele.
 
Toka wiki hii imeanza kumekua na ukosefu wa maji maeneo ya Mwenge.Yaani maji yanaweza kuwepo asubuhi au jioni.Nauliza Dawasco mbona hata habari hamjatupatia.Sijui hao ma afisa habari mishahara mnawalipa ya nino?
 
RIP Marehemu wote. Tusisikie mmepata cha juu kwenye ununuzi wa Majeneza.. maana hamkawii nyie...
 
Toka wiki hii imeanza kumekua na ukosefu wa maji maeneo ya Mwenge.Yaani maji yanaweza kuwepo asubuhi au jioni.Nauliza Dawasco mbona hata habari hamjatupatia.Sijui hao ma afisa habari mishahara mnawalipa ya nino?
DAWASCO haipo mdau. Iliunganishwa na kuwa DAWASA
 
Wakiwa hai wanawapiga mabomu na kuwaita majina yote mabaya huku wengine wakipotezwa, wakipatwa na majanga ya pamoja tunasumbua wapiga mabomu na risasi kwenda kutoa huduma. Kuna kitu cha kujifunza kuhusu maisha haya na kuheshimiana
 
Mimi huwa nawahurumia sana watu wanaosafiri na vyombo vya majini bongo. Ikizama ukipona basi siku zako hazijafika.
Kujitetea kusema vifaa havipo vya uokozi usiku si utetezi sahihi. Miaka zaidi ya 50 baada ya uhuru bado tupo tupo tu.
Wapumzike kwa Amani waliofariki.
 
Back
Top Bottom