Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa hana utu kabisa...
Ni kwamba hii ajali ilipangwa ama?
Ni kweli kabisa hata live coverage hakunaYani Tanzania tupo nyuma katika kila kitu.
Picha hiyo ya wanajeshi wakiokoa sio picha ya tukio la jana,lakini kwa upopoma na uvivu wa baadhi ya vyombo vyetu vya habari wameipakua mitandaoni na kuitumia kama ya jana.
Ukifuatilia Media za Kenya ndio utagundua ni jinsi gani Tanzania hakuna vyombo vya habari.
Dak mbili tu kwa mtu wa kawaida hazimalizi ndani ya maji sembuse masaa 24? mnashangaza sana. Hata kama waokoaji wangepeleka kwa chop maafa bado yangekuwa yaleyale tu maana chombo kilipinduka suddenly na kufunika watuna dakika 10hata daiva mzoefu hamalizi nani ya maji lazima afariki maana hatumii gills kupumua, lawama nyingine za kipuuzi kabisa.Una uhakika 100% hakuna alie hai kwenye hicho kivuko?
InasikitishaImewachukua siku mbili kufanya maamuzi? Yule wa magogoni anaishia kwenye Twitter. Hii serikali ya ovyo sana.
Yaani sijui na nchi za wenzetu wanafanya press release za namna hii.Mnawazawadia majeneza!?
Wewe na kizazi chako ndio wa ovyo walahi!Imewachukua siku mbili kufanya maamuzi? Yule wa magogoni anaishia kwenye Twitter. Hii serikali ya ovyo sana.
DAWASCO haipo mdau. Iliunganishwa na kuwa DAWASAToka wiki hii imeanza kumekua na ukosefu wa maji maeneo ya Mwenge.Yaani maji yanaweza kuwepo asubuhi au jioni.Nauliza Dawasco mbona hata habari hamjatupatia.Sijui hao ma afisa habari mishahara mnawalipa ya nino?