Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Kweli alipaswa kuwa namba moja kumtaja kwa miaka hii ya karibuniLowasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli alipaswa kuwa namba moja kumtaja kwa miaka hii ya karibuniLowasa?
Nimesoma kwa kina andiko lako Pascal Mayalla, naamini mtu yeyote aliyesoma shule na hiyo elimu ikamstaarabisha hawezi kukubaliana na hoja yako kwamba eti watu hawawajibiki kwa makosa ambayo ama ni moja kwa moja wamehusika au ni kwa migongo ya wsnawaongoza, Tumeshuhudia, akina Tibaijuka. Muhongo, Kitwanga. Nape, Nchemba, Je hao walipowajibika ilikuwa enzi ya Baba wa Taifa hili? Hasira yako hakika inatokana na ndugu yako kuwajibika ? Au inatokana na chuki yako binafsi? Binafsi nakufahamu sana pengine kuliko hata unavyojifahamu wewe. Kila Mara mandiko yako huwa ni ant system, lakini unasahau kuwa Taifa hili limekusomesha , linakupa fursa ya kujivinjari mitandaoni kwa gharama nafuu kabisa, kuwa na shukrani kwa Serikali yako. Siyo kila siku kuibeza.
Masanja. uko sahihi kabisa."Uongozi NI BIASHARA". Na siku ya kura watakitumia chombo hicho hicho.Wakijiuzulu watoto wao utawalipia karo na kuwapa chakula?
Mkuu Tanzania Uongozi ni biashara kama biashara nyinginezo. Uwajibikaji ni sifuri. Ndo maana wakiteuliwa wanafanya sherehe na kuiba. Hakuna kitu kama kuhudumia wananchi.
The sad part of it, hao hao viongozi kesho watakuja kuomba kura kwa kutumia hicho kivuko kama mtaji. NA wananchi walivyo na akili nyingi watawachagua kwa kishindo!
Africa bado tuna safari ndefu sana!
Yaani mkuu kwenye geti la kutokea ndio pazidiwe uzito wakati ndio sehemu kubwa ya kukaa,, na sio kwamba ni wote walikuja hapo kwa wakati mmoja, kwani kulikuwa na magari, ingekuwa imepigwa na dhoruba tungesema labda uzito umehamia upande mmoja ghafla!!! Lakini kwa watu kutembea tu!! Vyombo vingi vya majini vinakuwa na matatizo ya imbalance kwenye maji!! Ambacho ni kitu muhimu sana kwenye chombo kinachoeleaPengne walipokuwa wamekaa uzito ulibalance,kutoka kwao kukasababisha uzito uzidi upande m1.
Na wengine wafuate. Nchi ndo inavyotakikana kuwa.Kujiuzulu kwa Tanzania aliweza Muhongo tu na Nyalandu
Nimekuelewa mkuu..dah nothing to sayYaani mkuu kwenye geti la kutokea ndio pazidiwe uzito wakati ndio sehemu kubwa ya kukaa,, na sio kwamba ni wote walikuja hapo kwa wakati mmoja, kwani kulikuwa na magari, ingekuwa imepigwa na dhoruba tungesema labda uzito umehamia upande mmoja ghafla!!! Lakini kwa watu kutembea tu!! Vyombo vingi vya majini vinakuwa na matatizo ya imbalance kwenye maji!! Ambacho ni kitu muhimu sana kwenye chombo kinachoelea
Hawana namna.Hasa kama wana UTU/dhamiri!Thubutuu Kujiuzuru Tanzania ni ngumu Sana
Na vya wizi wa kura hata usiku wa manane wanavyo mkuu[emoji2][emoji2]Tz kunavifaa vya kudhibiti maandamano tu.
Kabisa kabisa. Hi;li n ijanga la la kitaifa na halijitaji SNAILPACE/MWENDO wa KONOKONO katika kuhuzunika na WAFIWA!Mbona bendera hazipepei nusu mlingoti.Kuna nini kinaendelea Tanzania.
Nchi zilizoendelea kura hazihesabiwi kwa mtutu wa bundukiHivyo hivyo kwenye hizo nchi zilizoendelea chama kikifanya vibaya kwenye uchaguzi mwenyekiti hujiuzulu, lakini huku kwetu sababu kibao.
Tusubiri. Hata kama wakikataa, Bado ni aibu sanaWakijiuzulu mni tag pls
Ova
What are you doing in Moscow?Am in Moscow you fool
Tena wanautangazia Umma wa Watanzania kwamba "tunakwenda zetu kulala na tukutane kesho". Kuna familia zaidi ya 350 zitakuwa hazikupata usingizi hiyo janaMkuu wa mkoa na timu yake wanaamua kwenda kulala ili waje kesho yake asubuhi kuendelea na uokoaji...