Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Hivi unasemaje eti zoezi la uokoaji litakamilika leo tarehe 21 jioni!!?

Inamaana milii yote ikifika hiyo saa 12 itakuwa imeshapatikana !??

Au wanafikri hili zoezi ni kama jinsi wanavyoiba kura na kusema zoezi la uhesabuji litakamilka saa12 jioni!?

Pathetics.
 
Mataifa makubwa na maskin kijografia ni shida tu bora tufanye partition kwa mara nyingine.
 
Mkuu upo? Nimekusifu leo kwa "biased neutrallity" Naanza kukuelewa!
 
Jinga kuu wewe walahi!
Leo mpaka koo litakukauka kwa maana tokea asubuhi unajitahidi kutetea mabwana zako [emoji23][emoji23][emoji23]ila sijui hata kama wameshakupa jelo ukanywe maji!!?
 
Angalo hata helicopter ingeshusha maboya chap,wengi wangenusurika!!
 
Aliyekuwa anaandika majina nae amezama...[emoji24] [emoji24]
 
Ndugu hesabu zilikupiga chenga kama Mimi!?
 
Hakuna Hakuna ukweli wowote ni upuuzi tu, hivi kama wewe ndugu zako wangekuwa mle ukasikia kauli kama hiyo ungesema uongozi ni mzuri kwakuwa umesema ukweli? Unacheza na uhai wa mtu, yaani unadiriki kwenda kulala wakati mtoto, ndugu au jamaa yako unajua yumo majini hata kama ni mfu tayari ujasiri wa kusitisha zoezi unaotoa wapi? Alafu bila haibu eti GIZA!!!!!! Hebu acha utani UHAI WA MTU HAUNA MBADALA.
 
Gharama zakurudia uchaguzi wa diwani ni 200-250 mil. wakati ubunge ni 2-3 bil. lakini hapohapo RC na washauri wake wameshindwa kufanya hata harambee ya vifaa vya uokoaji na mwanga.

Makonda ana mapungufu yake lakini kwenye hili tungeshuhudia ubunifu wake mkubwa.Mongella kafanya ukatili sana kwa uamuzi wake wa jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…