Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

sasa yale magari Ya kuwasha washa" mnayoyatumiaga wakati wakampeni " si muyauze tu" ili mnunue " vifaa tija" vitakavyo saidia uokozi kwenye majanga kama haya "... Au yale magari wakati huu yanafaida gani"...

au ndio mmekaa mnahofu muda" wote kuwa wa tz wanawaza kuandamana tu ".... mxiiiiiiiiuuuuuww JINGA sana haya ma CCM
 
Kuhusu TBC kujiunga mubashara waoneshe nini sasa ? Ki ubinadamu sio sahihi.mi nimeona clip za ile miili whatsapp sio busara kuionesha kwenye TV
Siyo kuonyesha miili inavyoopolewa. Watangazaji wanatakiwa wawe kribu na kutoa updates, mahojiano na kila habari inayohusiana na ajali. Vipindi vingine vinasitishwa kwa muda.
 
Hela ya mwenye roho ya korosho , Mungu haipokei , kwa hiyo wewe usichange , hela yako tumia utakavyo , na wengine wenye roho
kama yako wakutumie wewe ukanywee mbege.
Labda mungu wa Magogoni
 
Niliowaona wako busy kuhusu wale wanafunzi wa Arusha hapa sijawaona pia, ubaguzi in
 
CCM mmeua hawa watu kwani mbunge alishapambana sn kivuko kingine kipatikane but nnaendeleza utapeli tu Kwa watanzania.
 
Wakati mzee Mwinyi anajiuzulu alikuwa kwenye zile mahabusu walizojaza watu hadi wakafa ? Kwanini Mzee alijiuzulu badala ya RPC ,OCD nk ?

Mzee Mwinyi alijiuzulu kwasababu yeye wkati ule alikuwa ni waziri wa mambo ya ndani.

Pili, kesi hiz mbili zinatofautiana wakati hili ni janga ile kesi ya Shinyanga haikuwa ni janga.
 
Nashangaa TV zetu zilikuwa busy kuonyesha Royal wedding lakini kwenye tukio hili tunakosa live coverage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…