Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Bajeti ya kununua hivo vivuko inapitishwa na wanasiasa.
Matengenezo yanategemea msukumo wa wanasiasa.
Usimamizi unategemea wataalamu na wanasiasa.
Hilo eneo lilihitaji zaidi ya kivuko kilichozama, pia ilihitaji wanasiasa wafanye maamuzi,
Vifaaa vya uokozi kwa jeshi la polisi na majeshi mengine yanahitaji wanasiasa wapitishe bajeti

Unatenganisha vipi siasa na matukio ya kizembe kama haya iwapo kina watu wanapaswa kuwajibika?

Mkuu wa Mkoa awajibike
Waziri wa uchukuzi awajibike
Polisi wawajibike kwa uzembe
SUMATRA wawajibike
Kwani tatizo lilitokana na ubovu wa kivuko au makosa ya kibinadamu?
 
Hilo ziwa wasikimbilie kujenga meli kubwa kubwa,wakati hata boti ndogo za mwendo kasi,zenye uwezo wa kunyanyua boti zilizozama,na zenye kutoa mwanga mkali wakati wa usiku hakuna.
Ajali kubwa kama hii kungekuwa na hata helicopter ya dharura,ingeshusha maboya mengi na waokoaji,kusingekuwepo na vifo vingi kiasi hiki.
Mungu tusaidie!
 
Nimesoma kwa kina andiko lako Pascal Mayalla, naamini mtu yeyote aliyesoma shule na hiyo elimu ikamstaarabisha hawezi kukubaliana na hoja yako kwamba eti watu hawawajibiki kwa makosa ambayo ama ni moja kwa moja wamehusika au ni kwa migongo ya wsnawaongoza, Tumeshuhudia, akina Tibaijuka. Muhongo, Kitwanga. Nape, Nchemba, Je hao walipowajibika ilikuwa enzi ya Baba wa Taifa hili? Hasira yako hakika inatokana na ndugu yako kuwajibika ? Au inatokana na chuki yako binafsi? Binafsi nakufahamu sana pengine kuliko hata unavyojifahamu wewe. Kila Mara mandiko yako huwa ni ant system, lakini unasahau kuwa Taifa hili limekusomesha , linakupa fursa ya kujivinjari mitandaoni kwa gharama nafuu kabisa, kuwa na shukrani kwa Serikali yako. Siyo kila siku kuibeza.
Tibaijuka, Muhongo, Kitwanga, Nape, Nchemba, waliwajibika, au waliwajibishwa?.
Ni kweli Taifa hili limenisomesha , linanipa fursa ya kujivinjari mitandaoni kwa gharama nafuu kabisa, hivyo napaswa kuwa na shukrani kwa Serikali yangu, siyo kila siku kuibeza!, jee wewe unaona tuu kila siku nikibeza, au kila kitu nabeza?, siku nikisifu huo huoni?.
Karibu mitaa hii
Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The ...
"Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of ...
Timua Timua CCM, Hongera M/Kiti Magufuli, Wapinzani Mjifunze ...
Tusilalamike Tuu, Kulaumu na Kulaani Kila Kitu, Kwenye Mazuri ...
Hongera Rais Magufuli kwa kumruhusu Dangote achimbe Makaa ya Mawe ...
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A ...
Tusikalie kumlaumu tu Rais Magufuli na Serikali yake wanapofanya ...
Kwa Uamuzi Huu, Pongezi Sana Rais Wetu Magufuli, Utabarikiwa na ...
Hongera Rais Magufuli kwa kudumisha mahusiano mema na Marais wa ...
Ulaji Dr. Slaa: Magufuli anazidi kuthibitisha ni Rais wa wote ...
Watanzania tukosoane kwa nia ya kujenga na sio kubomoa- Clouds 360 ...
Rais Magufuli: Hongera Kafulila kwa uzalendo dhidi ya IPTL ...
Pongezi kwa Rais Magufuli Kusitisha Bomoa Bomoa Kwa Kuongeza ...
Baraza Jipya: Pongezi kwa JamiiForums, WanaJF watatu(VERIFIED ...
Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita ...
Aliyemuibua Magufuli anastahiliki sifa za kipekee!! - JamiiForums
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Uongo unaosemwa kumhusu Rais wetu Magufuli na nchi yetu Tanzania ...
Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea ...
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...
Magufuli shujaa, ataka 68 wa madawa wanyongwe! Kikwete alikuwa ...
Asiye mpongeza Rais Magufuli uyo ujue ana nia mbaya na Taifa letu ...


Ukiona mabandiko haya hayajatosha, naweza kuendelea hadi yakafika mabandiko 50 au 100!.
Jee kusifu huku hakutoshi kuhalalishwa kusomeshwa na kujivinjari mitandaoni?, au ungependa wote kazi yetu iwe kusifu tuu na kuimba mapambio ya kutukuza?, au kama vipi tulambe kabisa na viatu vyao?.
P.
 
Unajua matengenezo yaliyotakiwa yalihitaji fedha kiasi gani??


..Mbunge alichangia kiasi gani toka kwenye mfuko wa maendeleo ya jimbo?

..kwanini ni wagumu kusifia serekali pale inapofanya mambo mazuri?
 
Bajeti ya kununua hivo vivuko inapitishwa na wanasiasa.
Matengenezo yanategemea msukumo wa wanasiasa.
Usimamizi unategemea wataalamu na wanasiasa.
Hilo eneo lilihitaji zaidi ya kivuko kilichozama, pia ilihitaji wanasiasa wafanye maamuzi,
Vifaaa vya uokozi kwa jeshi la polisi na majeshi mengine yanahitaji wanasiasa wapitishe bajeti

Unatenganisha vipi siasa na matukio ya kizembe kama haya iwapo kina watu wanapaswa kuwajibika?

Mkuu wa Mkoa awajibike
Waziri wa uchukuzi awajibike
Polisi wawajibike kwa uzembe
SUMATRA wawajibike
Hapa tunapoteza point kama Wafarisayo enzi za Yesu.
Hivi kwa nini tunapindisha au tunachanganya sababu ya kuzama na bajeti ya kivuko.
Kwa maelezo ya awali Kivuko kilibeba abiria na mizigo mara 4 zaidi ya uwezo wake au leseni yake.
Hatujaambiwa kivuko kama kiriharibika kabla ya kupinduka.Hawakuwa na tatizo la mashini,labda kitu kimmoja muhimu cha kujiuliza kama kivuko hicho hicho kilizoeleka kuzidisha abiria mara kwa mara je siku hiyo nini cha ziada kilisababisha kupinduka?
Yawezekana walichezesha stability ya kivuko tuanzie hapo,na kwanini kilipinduka ghafla je ni free surface effect?
 
..mimi nadhani tumlaumu Mbunge wa Ukerewe anayetokea chama cha Chadema.

..kwanza, alipiga kura kukataa bajeti ya wizara ya uchukuzi.

..Mbunge alitegemea serekali itatoa wapi fedha za kununua au kukarabati vivuko?

..Pili Mbunge anapata milion 58 kila mwaka kwa ajili ya mfuko wa maendeleo. Angetumia fedha hizo kukarabati kivuko huenda ajali hii isingetokea.

Cc tindo
Huo ndio ukweli na uungwana pia.
Tatizo chadema wamezoea kutumia misiba na majanga ya kitaifa kama kick za kisiasa, kujipatia popular majority.
Rejea ajali ya saint vicent,msiba wa mzee ndesamburo (ambako familia ya marehemu na baadhi ya vigogo cdm haziwivi mpaka leo).
Rejea msiba wa Alphonce mawazo jinsi mwili wa marehemu ulivyosumbuliwa, kisa kutafuta kick za kisiasa kanda ya ziwa.
No.
Hii ndio hulka ya upinzani wa kitanzania.
 
..inawezekana hawana VIFAA.

..pia hawana wazamiaji wengi wanaotosha kufanya kazi masaa 24.

..unajua wazamiaji wana muda maalumu wa kukaa ndani ya maji, wanapozidisha wanakuwa wanahatarisha maisha yao.

cc Richard
 
Huo ndio ukweli na uungwana pia.
Tatizo chadema wamezoea kutumia misiba na majanga ya kitaifa kama kick za kisiasa, kujipatia popular majority.
Rejea ajali ya saint vicent,msiba wa mzee ndesamburo (ambako familia ya marehemu na baadhi ya vigogo cdm haziwivi mpaka leo).
Rejea msiba wa Alphonce mawazo jinsi mwili wa marehemu ulivyosumbuliwa, kisa kutafuta kick za kisiasa kanda ya ziwa.
No.
Hii ndio hulka ya upinzani wa kitanzania.

..exactly.

..kwa mfano wanavyomlaumu Mh Mkuu wa mkoa kwa kuamua shughuli za uopoaji zisitishwe ili watu waende "WAKAFYATUE."

..sijui kwanini wapinzani hawakuona jambo lolote lile la kusifia ktk tukio hili, kazi yao ni kutoa lawama na matusi tu.
 
..inawezekana hawana VIFAA.

..pia hawana wazamiaji wengi wanaotosha kufanya kazi masaa 24.

..unajua wazamiaji wana muda maalumu wa kukaa ndani ya maji, wanapozidisha wanakuwa wanahatarisha maisha yao.

cc Richard

Mkuu kesho wataendelea nazoezi
 
Kwa kweli hili linashangaza, yaani tumeambiwa meli ilikuwa na watu 400+ na walioopolewa ni kama nusu tu, maiti na majeruhi! Then hao wengine wanawaachia samaki na kaa wawatafune? Wanakimbilia kusema majeneza yapo tayari...[emoji848][emoji18]
Ama kweli Mungu turehemu Watz!
 
Wakijiuzulu watoto wao utawalipia karo na kuwapa chakula?

Mkuu Tanzania Uongozi ni biashara kama biashara nyinginezo. Uwajibikaji ni sifuri. Ndo maana wakiteuliwa wanafanya sherehe na kuiba. Hakuna kitu kama kuhudumia wananchi.

The sad part of it, hao hao viongozi kesho watakuja kuomba kura kwa kutumia hicho kivuko kama mtaji. NA wananchi walivyo na akili nyingi watawachagua kwa kishindo!

Africa bado tuna safari ndefu sana!
Si mumshauri mbunge wa jimbo husika aanze yeye kujiuzulu, hela zote za mfuko wa jimbo huwa anazitumiaje!
 
Back
Top Bottom