Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

You have spoken the truth brother.. Many of us cry tears of blood deep in our hearts but hardly have the courage to openly point fingers to the guilty ones..
Many of those in power walk with empty heads, heedless and most times being haunted by this naked truth deep down their hearts and in the depth of their conscious mind, they don't have the courage to take action for the fear of their greedy bellies ..shame on them all!!
 
Kwakweli Mbowe na Chadema wanawanyima raha. Si rahisi ipite siku humu bila kutaja Chadema na Mbowe. Uzuri Lissu hatoki kaskazini bali anatoka central, maana angekuwa ni wa kaskazini mngetafuta kutoka na kiki ya ukabila.
 
Ndugu wanabodi:
Hivi sisi Watanzania nano katuloga? TBC na vyombo binafsi vimeshindwa kujiunga mubashara kwenye shughuli ya uopoaji maiti lakini hats kupiga nyimbo za maombolezo imeshindikana kweli?

Nimesema shughuli ya uopoaji kwa sababu serikali ingekuwa serious na maisha ya Watanzania wenzetu ingepeleka jenereta jana ili shughuli ya uokoaji iendelee Jana usiku.

Watanzania zaidi ya 126 ni msiba mkubwa wa taifa lakini radio na luninga ya taifa wameshindwa kujiunga mubashara hatua kwa hatua badala yake wanaendelea na mambo yao yasio na maslahi kwa Taifa.

Naamin kwa Wazungu habari ingekuwa ndio hiyo kuwa mubashara muda wote kwa kila kituo cha luninga na redio.Na wasingekubali kusitisha shughuli ya uokoaji eti kisa giza

Tumeshindwa kuthamini uhai wa wenzetu, kweli ngozi nyeusi ni wabinafsi haijapata kutokea
Nyimbo za kulisifu jiwe na kuliabudu!!
Ccm mbele kwa mbele!!
Atakayefuata kununuliwa itabidi na dau liongezeke mara dufu! Sio kama kina wItara na mtatiro.
 
Hoja ya kup.umbavu kabisa.

Jambo la muhimu ilikuwa kuzuia maafa.

Mbunge wa Ukerewa amelalamika sana Bungeni. Alieleza jinsi alivyohangaika na alivyoonana na viongozi mbalimbali wa serikali kuelezea hali ya hatari iliyokuwa ikiwanyemelea watumiaji wa kivuko cha Nyerere lakini serikali haikuwahi kufanya chochote.

Leo wakati watu wamekwishakufa ndiyo wanajikusanya kwenda kisiwa cha Ukara. Unafiki mkubwa! Msaidie mtu kulinda uhai wake na siyo kubeba jeneza lake
Mijitu yenye mtindio wa ubongo hayaachi kutoa "utumbo" kama lawama juu ya Mbowe au upinzani kutofika ukara. Hayana uwezo wa kufikiri nje ya boksi. Tutasikia mengi hata yasiyostahili kutoka vinywani mwa vichaa!
 
Hela zilizotengwa kwa ajili ya kuunga mkono jimbo la Liwale zitumike kununua viokozi. Maana mshindi ni kijani kapita Bila kupingwa.Zisipotosha mbunge mmoja aonyeshe uungwana kuunga mkono za Marudio ziende zikaongezee kununulia vifaa okozi.
 
Huyo anayetoa matangazo ya Bender's nusu mlingoti huku anakula bata magogoni hujamuona?
Serikali nzima ya CCM ikiongozwa na PM Majaliwa, CS Dr Kijazi, IGP Sirro. CDF Mabeho na kamati nzima ya ulinzi na usalama mkoani Mwanza na Mara wako Ukerewe kushirikiana na mbunge wa Chadema katika harakati za uokozi wa wapiga kura wake waliozama ziwani. Poleni sana sana Ukerewe!
 
Mijitu yenye mtindio wa ubongo hayaachi kutoa "utumbo" kama lawama juu ya Mbowe au upinzani kutofika ukara. Hayana uwezo wa kufikiri nje ya boksi. Tutasikia mengi hata yasiyostahili kutoka vinywani mwa vichaa!
Matusi ndio Sera mliyobaki nayo!.,,....mbege plus kisusio ni noma!
 
Back
Top Bottom