kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
ccm ni adui mmoja kati ya wale ujinga, maradhi na umasikini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We upo kwenye point
Mali zote za serikali yakiwemo magari huwa hayana bima mkuu!
Huu uzi unapandishwa mara ya 3 leo!Ila watu washaelewa huu ni upotoshajiWatasema kanunuliwa
Hawachelewi kumuita msaliti, kwa jinsi walivyo waduanzi.BREAKING NEWS:
MBUNGE CHADEMA APINGANA NA UPOTOSHWAJI UNAOFANYWA NA VIONGOZI WA CHAMA CHAKE
Mh Michael Joseph Mkundi
MBUNGE WA UKEREWE ( CHADEMA)
_"Kuhusu hoja yangu niliyotoa kule Bungeni ilifanyiwa kazi na Serikali kwa uharaka sana na vizuri ambapo lilikuwa ni hitaji la INJINI MBILI ambazo Serikali ilitekeleza wito huo na zilipatikana kwa gharama ya (Tsh. Milioni 191) zikafungwa vizuri Mwezi Julai mwaka huu 2018 kwenye kivuko hicho cha MV NYERERE. Suala ambalo lilikuwa bado tunalifanyia kazi ni namna ya kuongeza idadi ya safari, mengne tumuachie Mungu nawashangaa wanasiasa kulichukulia suala hili kisiasa zaidi huu ni ujinga"_
Ngoja tungojee ITV Habari saa mbili maana wewe umeshindwa kuweka hata kaklip!BREAKING NEWS:
MBUNGE CHADEMA APINGANA NA UPOTOSHWAJI UNAOFANYWA NA VIONGOZI WA CHAMA CHAKE
Mh Michael Joseph Mkundi
MBUNGE WA UKEREWE ( CHADEMA)
_"Kuhusu hoja yangu niliyotoa kule Bungeni ilifanyiwa kazi na Serikali kwa uharaka sana na vizuri ambapo lilikuwa ni hitaji la INJINI MBILI ambazo Serikali ilitekeleza wito huo na zilipatikana kwa gharama ya (Tsh. Milioni 191) zikafungwa vizuri Mwezi Julai mwaka huu 2018 kwenye kivuko hicho cha MV NYERERE. Suala ambalo lilikuwa bado tunalifanyia kazi ni namna ya kuongeza idadi ya safari, mengne tumuachie Mungu nawashangaa wanasiasa kulichukulia suala hili kisiasa zaidi huu ni ujinga"_
mkuu. hata wakiunga mkono hali inazidi kuwa ngumu tu. kule ruvuma bei ya kahawa na mahindi haieleweki bado...Endeleeni na umbea wenu. Diwani wa kata ya Matarawe (chadema), Manispaa ya Songea leo amejiuzulu nyadhifa zake zote kuunga mkono juhudi. Mnajitoa ufahamu sio?
Chanzo:
mkuu wapotoshaji ni wale waliokuwa wakisema Mh Michael Joseph Mkundi alitabiri ajalimmh. mkuu tuwekee ushahidi hapa. isije ikawa upotoshaji juu ya upotoshaji..
Tunazungumzia bima wewe umeleta kudaiwa fidia hiyo ni issue nyingine!..lakini hiyo haimaanishi kwamba serekali haiwezi kudaiwa fidia ikiwa magari yake yamesababisha ajali.
Pale ferry hamna orodha we unachukua tiketi yako ukishaingia ndani pale hamna hata hesabu ya kujua watu ni wangapi mnasubiri kupanda tu si ajabu hiyo idadi ya makadirio ya watu kama 400 inafichwa bado idadi inaweza ikawa zaidi ya watu 500.Kulikuwa na kitabu?
Hivi pale Ferry au Kivukoni kuna orodha mnapopanda kivuko?
Video muhimu Sana hiki kipindi hatuwezi kuaminiana kimaandishi hivi,BREAKING NEWS:
MBUNGE CHADEMA APINGANA NA UPOTOSHWAJI UNAOFANYWA NA VIONGOZI WA CHAMA CHAKE
Mh Michael Joseph Mkundi
MBUNGE WA UKEREWE ( CHADEMA)
_"Kuhusu hoja yangu niliyotoa kule Bungeni ilifanyiwa kazi na Serikali kwa uharaka sana na vizuri ambapo lilikuwa ni hitaji la INJINI MBILI ambazo Serikali ilitekeleza wito huo na zilipatikana kwa gharama ya (Tsh. Milioni 191) zikafungwa vizuri Mwezi Julai mwaka huu 2018 kwenye kivuko hicho cha MV NYERERE. Suala ambalo lilikuwa bado tunalifanyia kazi ni namna ya kuongeza idadi ya safari, mengne tumuachie Mungu nawashangaa wanasiasa kulichukulia suala hili kisiasa zaidi huu ni ujinga"_
Tunazungumzia bima wewe umeleta kudaiwa fidia hiyo ni issue nyingine!
Ipo haja kwa hapa tulipofikia ikawa ni lazima kwa kila mtu ajue kuogelea ili kupunguza vifo vya majini
We bwege nini mi ndugu zangu wamekufa we unachangia nini?Kesho atatokea bange mwengine atasema"mazoezi iwe lazima" kuzui visukar
Kwani hao mimi sio ndugu zangu?We bwege nini mi ndugu zangu wamekufa we unachangia nini?