Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Acha siasa za kipumbavu wewe, kwanza maswala ya kuzika ni ya ndugu na sio chama, haya maafa naona yamegeuka kuwa kampeni, upinzani wanahara na ccm wanahara lakini wanao umia ni wafiwa.
 
Mhh naona mapichapicha tu kwny hii tread hyo link sitak hata kuifungua najua ni upuuzi tu
 
Wenyewe wana amini wanapendwa tu, hata wafanye ujinga gani wananchi wata endelea kuwapenda tu, dawa ni kutoa somo 2020, yoyote atakayenisogelea kuomba kura kutoka CDM nitamtemea mate tu, mtu gani una kejele vifo vya watu ?
7000
 
UOTE="POST TRUTH, post: 28491187, member: 399480"]Hivi kuna sababu yoyote ile ya msingi kwa nini Mkurugenzi wa OSHA na menejimenti yake wasiwajibike?

Mkurugenzi wa OSHA anawajibika kwenye wizara iliyo chini ya waziri Jenista Mhagama

sasa cha kujiuliza je, ni kweli huyu Mkurugenzi na menjimenti yao wamewasilisha barua zao za kuwajibika/kujiuzulu kwa Waziri Mhagama na kama wamefanya hivyo mbona umma haujajulishwa? Na je waziri Mhagama alichukua hatua gani?


Je hii OSHA is it good for purpose?[/QUOTE]
Very poor presentation!
 
Aliyeagiza wazamiaji kwenda kulala na wake zao kwa kuwa kuna giza tororo bila kutumia bongo yake kufikiria other alternatives no matter how expensive they were, awe wa kwanza kuachia kiti.
"Consultant, akili zako zinakutosha wewe tu
 
Porojo hizi, responsibility inaanza kwa waziri, kwa tanzania ya sasa ukanda una priority kila mtu anajua
Sasa jamaa yangu assume Rais angemuacha Waziri wetu yule wa Maji kwa sasa alafu ndio anamtumbua..kungekuwa na ukanda au hakuna.Huyo Waziri Eng.Kamwele kiutendaji kaja juzi tu kutoka kwenye Wizara ya Maji.Nadhani kauli zake tu huenda ndio zinawachanganya baadhi yenu..ila utambue asilimia kubwa ya viongozi wetu wazee kiswahili hawakiwezi kwa lafudhi na lugha ya kupoza kwa kiasi fulani,kama we ni Kijana Jaribu kutazama wazee ata watatu hapo mtaani kwenu..
 
Jimbo la Ukerewa lipo chini ya CDM ila ndani ya CDM kuna ubaguzi wa kijinga sana. Na uhakika hili balaa lingetokea Arusha au Kilimanjaro CDM makao makuu wangetuma mtu wa kuwawakilisha kwenye msiba.
Mbona mbunge wao hakupewa nafasi ya kuongea wala kuweka shada la maua badala yake wakapewa akina Lubingas.
Nilihisi ubaguzi wa kisiasa kwa mbali.
 
Nimejiuliza sana ili swali hasa baada ya kusoma katika gazeti la Chadema liitwalo Tanzania Daima kwamba uongozi unakaribia kumsajili maalim Seif katika chama chao. Ndiposa najiuliza mgombea urais mtarajiwa ndio kipaumbele cha Chadema kiasi cha kumtelekeza mbunge wa Ukerewe my Joseph Mkundi?!!!
CCM mna lenu jambo, tafsiri ya kutumia msiba kisiasa inabaguaje kuhudhuria msiba? Wamekatazwa hao, Unatagemea Mhe. Mbowe angekuwepo angekosa kukemea uzembe ambao hata serikali imekiri umekuwepo? Kama serikali imeisha wakamata watuhumiwa wa uzembe huo haikufanya siasa? Kuvunjwa kwa bodi ya wakurugenzi katikati ya msiba sio siasa? Kwanini hawakusubiri mazishi na kumaliza maombolezo? Mna lenu jambo nyie, lakini ipo siku, janja ya nyani itagundulika.
 
Ndio mkuu vyombo vyote vya usafiri majini vya serikali viko chini ya Temesa na haviusiani kabisa na sheria zozote za marine ambazo ni merchant shipping act au ferry act wao kanuni zao ni tofauti nadhani wanazijui wanao fanya kazi huko
Dn1WLtWX0AAkW-f.jpg large.jpg

Hapa inakuwaje mtaalam wangu.
 
Hizi saccos zilizoanzishwa na watu wenye akili kubwa zingekuwa hazihitilafiani wangepata tabu sana hawa wanaoitwa akili ndogo.


Majibu ya mashuhuda kwangu nina majibu tosha.

Siwezi anza kumlaumu Mh.Raisi


Lawama zangu kwa wanausalama wa hapo kivukoni.


2020 hii haitakuwa kiki.
 
Back
Top Bottom