Uchaguzi 2020 Ukara: Wananchi wamuua mtu aliyetaka kumteka mgombea udiwani wa kata ya Bwisya kwa tiketi ya CHADEMA

CCM siyo chama cha siasa tena bali ni genge la wahuni

Tangu lini genge la wahuni likawa na weledi na busara zaidi ya uhuni tu ??
CCM wanadhani nchi ikiwaka moto wao watakuwa salama kitu ambacho si kweli tuwe wazalendo Tuipende Tanzania,
TANZANIA NI YETU SOTE TUWE WAZALENDO NYUMBA IKIUNGUA HAKUNA ALIYE SALAMA
 
hongera nyingi kwao
 
Hata train ya kwanza ya mkoloni kufika Kigoma watu walifurika kuitazama na kuwashangilia wazungu. Kwa hiyo yaliyotokea jana Arusha siyo tukio geni.
 
It is a pity!
 
Yote haya wa kulaumiwa ni huyo MHUTU anayejifanya ni Msukuma.

 
Tabia za kutekana Ni za kishenzi dawa Yao mkiwajua watekaji mnamalizana huko huko

Huu ushenzi umetamalaki siku hizi
 

Tunataka taarifavya police na sio ya katibu wa chadema
 
Nadhani hii inaweza kuwa njia muafaka ya kuwafanya wasiojulikana wajulikane
 
CCM wanadhani nchi ikiwaka moto wao watakuwa salama kitu ambacho si kweli tuwe wazalendo Tuipende Tanzania,
TANZANIA NI YETU SOTE TUWE WAZALENDO NYUMBA IKIUNGUA HAKUNA ALIYE SALAMA
CCM wameshapoteza hata chembe ya utu, sababu kubwa ni kwamba hawawatumikii tena wananchi bali wamebakiza jambo moja la kubaki madarakani haijalishi wanafanya nini madarakani.
 
Wangemchoma na moto. Ningepata taarifa mapema ningewarushia hela ya petrol na taili ya gari
 
Ikitokea vita mwanzilishi ni ccm na hakuna kupepesa machio ktk hili. kama wanasema wanapendwa kwanini wanafanya ujinga huu wa kuchezea amani ya nchi.
 
Kila mmoja wetu kwa nafasi yake na imani yake aliombee Taifa, uchaguzi huu ufanyike kwa amani na mambo kama haya yasijirudie tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…