impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
CCM wanadhani nchi ikiwaka moto wao watakuwa salama kitu ambacho si kweli tuwe wazalendo Tuipende Tanzania,CCM siyo chama cha siasa tena bali ni genge la wahuni
Tangu lini genge la wahuni likawa na weledi na busara zaidi ya uhuni tu ??
TANZANIA NI YETU SOTE TUWE WAZALENDO NYUMBA IKIUNGUA HAKUNA ALIYE SALAMA