impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Ok mkuu, Siku ukisafiri kuja Pwani usisahau SatoNiko Mwanza hapa Mwaloni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok mkuu, Siku ukisafiri kuja Pwani usisahau SatoNiko Mwanza hapa Mwaloni
Mpwa, Mpwa, Mpwa ngoja nikae kimya tu! Niko JF miaka mingi kuna tarifa nyingi sana zimewahi kuwekwa hapa with vivid evidence lakini tuishie hapaMkuu Kiukweli ni mjinga tu ndio ataamini kuwa haya matukio yanaratibiwa na ccm, yaani wafanye huu utekaji na uuaji kwa makusudi kabisa huku wakijua kabisa lawama zitatupwa kwao na kuwapaka matope tena kwenye kipindi hiki cha uchaguzi?
Basi kama ni hivo watakuwa wapumbavu kweli kweli.
Kinachotafutwa ndicho hicho ili "watu" wakamatwe kwa makosa ya jinai kama mauaji nk pindi watakapojihami dhidi ya watesi wao.Hii roho mbaya ya kutekana inaonekana kushamiri. Kama waliweza kumthibiti wasingemua ili tujue ni akina nani waliowatuma.....
Wale wa Hai - Kilimanjaro waliorusha mawe ni chama gani?Mkuu Kiukweli ni mjinga tu ndio ataamini kuwa haya matukio yanaratibiwa na ccm, yaani wafanye huu utekaji na uuaji kwa makusudi kabisa huku wakijua kabisa lawama zitatupwa kwao na kuwapaka matope tena kwenye kipindi hiki cha uchaguzi?
Basi kama ni hivo watakuwa wapumbavu kweli kweli.
Hakuna shida, Niko kwa jamaa yangu hapa, nitawaletea wala usitie shakaOk mkuu, Siku ukisafiri kuja pwani usisahau Sato
Nakazia hapaHofu ya nini kama tumenunua ndege, flyover, madaraja na nchi ni uchumi wa kati?
Kwahiyo yanafanywa na nani ?Mkuu Kiukweli ni mjinga tu ndio ataamini kuwa haya matukio yanaratibiwa na ccm, yaani wafanye huu utekaji na uuaji kwa makusudi kabisa huku wakijua kabisa lawama zitatupwa kwao na kuwapaka matope tena kwenye kipindi hiki cha uchaguzi?
Basi kama ni hivo watakuwa wapumbavu kweli kweli.
Maigizo tupu hakuna uchaguziNakazia hapa
Sawa mkuu, lakini nikuachie swali wakati kule kibiti wanaccm walivyokuwa wakiuawa kila kukicha vipi ni CHADEMA wale ndio walikuwa wakifanya yale mauaji? Ulisikia tuhuma zozote kutupiwa CHADEMA kuwa ndio wahusika? Na ingekuwaje Kama wale waliokuwa wanauawa wangekuwa Wana CHADEMA hali ingekuwaje tuhuma angetupiwa nani?Mpwa, Mpwa, Mpwa ngoja nikae kimya tu! Niko JF miaka mingi kuna tarifa nyingi sana zimewahi kuwekwa hapa with vivid evidence lakini tuishie hapa
Huwezi, huweziKabisa hii italeta kuheshimiana
Kwasababu hata kama unabunduki hauwezi kuua watu 100 utaua wachache
Kweli kabisa uchaguzi huu ni jino kwa jino, ukipigwa shavu la kushoto hakuna kugeuza la kulia, nawe unapiga mambata na mitama!Wang'olewe na kucha kabisaaa, wametuonea vya kutosha acha wananchi wajilinde wenyewe maana polisi wanailinda ccm, sasa wananchi wawalinde wapinzani...patamu hapooooo
Na serikali ya ccm na wanachama wake sasa wameshafikia hiyo hali sasa wao wanajiona ni watu zaidi kuliko wengine.Popote inapomwagika damu jua dhuruma ilianza kwa baadhi kujiona Wana haki kuliko wengine.
Sisi ni binadamu kama wa Somalia, Mali,Congo ama Sudani.
Hivyo yanayotoke huko hata hapa yanaweza kutokea.
Mheshimiwa Raisi Magufuli huu ndio ulikuwa muda wa kuwaunganisha Watanzania kwa vitendo.
Sababu Jicho linalotuangalia huko nje sio la kheri, Wanasubiri tusambaratike wapite katikati.
Mungu iepushe Tanzania na hili pepo linalotunyemelea.
Hatari.Dah, kumbe Niko jirani kabisa na hawa Mashujaa??
Mauwaji ya MKIRU yalikua ya tofauti sana sana na ndio maana jeshi liliingilia kati, huenda ilikua ni zaidi ya yale tuliyokua yunayajua, all in all tupendane na kuheshimiana maana chaguzi zitapita ila maisha yatakuepoSawa mkuu, lakini nikuachie swali wakati kule kibiti wanaccm walivyokuwa wakiuawa kila kukicha vipi ni CHADEMA wale ndio walikuwa wakifanya yale mauaji? Ulisikia tuhuma zozote kutupiwa CHADEMA kuwa ndio wahusika? Na ingekuwaje Kama wale waliokuwa wanauawa wangekuwa Wana CHADEMA hali ingekuwaje tuhuma angetupiwa nani?
Sio dhambi Mpwa, si MB zipo tu na chaji?? Hakuna shida kabisaHatari.
Mara unaomba amani
Mara unawaita mashujaa
Jamani, inakuaje CCM wanakuwa waoga kiasi hiki? Mbona atukuyaona wakati wa J.K?