William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Hao waliokubari kuajiliwa na wewe yaonekana bila wewe walikuwa wanafirika mjini. Maana siamini mtu mwenye akili timanu anaweza kukubali kuajiliwa na kiazi kama wewe.
- Nilifungua Blog kwa investment ya USD $ 500 mwaka 2012 sasa ni a registered Company na ina wafanyakazi 5 na according to the Google Business Online analysis leo nikitaka kuiuza ni worthy at USD $ 300,000 mara ya mwisho Mama mmoja from South Africa alitaka kuinunua kwa USD $ 200,000 nikakataa nataka mpaka thamani yake itakapofikia USD $ 500,000 ndio nitafikiria kuiuza,
- Now sasa hivi nime invest kwenye Radio na TV, so soon nategemea kuachana na Blog ambayo sasa hivi ni a perfect system tayari yaani inaweza kujiendesha yenyewe na kuingiza faida, niliwahi kukopa Mwaka jana from the bank kwa ajili ya expansion na mitambo ya mawasiliano for my blog lakini nilisharudisha deni lote tayari sasa sidaiwi tena,
- So nipo sawa na sijawahi hata kuchelewesha mishahara ya wafanyakazi wa kampuni yangu, ninamshukuru Mungu sana kwa yote haya na infact in the process nilifanikiwa kutengeza business at Instagram ambako nako nina pata pesa nzuri kutokana na matangazo ya biashara ambayo nina charge from Tsh. 100,000 per tangazo I mean ni ubunifu zaidi
Le Mutuz
- Jana nilikuwa kwenye interview ya Mliman TV moja ya swali waliloniuliza ni tunakuona sana JF ukikata ishus na ni moja ya sababu iliyotufanya tukuite hapa, now wewe atakuita nani kwenye National TV na majina yako ya bandia? hahahahahaha akili ndogo leo nitawapa darasa mpaka muelewe kwamba mimi sina ufinyu wa akili kama zenu shallow, watu mpo wengi lakini hamuwezi kunishinda mtu mmoja cause combine akili yenu ni kidogo sana U know hahahahahahah
Le Mutuz
Blog yako inaitwaje le mutuz hembu nipe link japo nione kilichopo humo kama kina hiyo thamani unayoitaja.
Mkuu Le mutuz habari gani?
Kuitwa kufanya hiyo interview kwa vile wanakuona sana JF na wengine hawaitwi kwa vile wanatumia majina bandia sio hoja hata kidogo. Wewe ndio uliyependa uitwe kwenye TV kwa kupitia issue unazojadili JF lakini hao member unaodharau kwa kutumia majina bandia JF wengine wanafanya sio interviews peke yake na TV stations nchi hii bali hata wanafuatiliwa kila wafanyacho.
Binafsi nawafahamu watangaza nia wanne wa CCM ambao wapo humu na wanatumia majina wayajuayo wenyewe. Ni sheria yetu tuu ya JF inani zuia kuwataja. Hivyo kwa vile sio dhambi kutumia jina bandia acha watu watumie mradi iwe kwa nia nzuri tuu.
Bora harusi .. Mimi nililetewa kadi mchango wa birthday..... Wabongo bana ...
- Well, ni utetezi tu mkuu ila hata wewe unajua ukweli kwamba ukweli unaosemwa kwa kutumia majina ya bandia hauwezi kuwa effective kama wangu unaosemwa kwa jina kamili na ID kamili, mengine baki nayo ni utetezi tu wa mediocre thinking na fear, kama kweli unachosema ni ukweli why unaogopa?
Le Mutuz
Yap Le Mutuz nakupata. Usemayo ni sahihi ila naomba ujue kila mtu ana fani yake, fikra zake binafsi na jinsi jamii inavyomchukulia. Mfano mie kama binadamu naweza kuwa na itikadi zangu binafsi za kisiasa, lakini maadili ya kazi yangu hayaniruhusu kuonyesha hisia zangu hadharani. Huoni kuwa mitandao kuruhusu kutumia majina bandia ndio nipatapo nafasi ya kujumuika na wenzangu kushare hisia zangu?
- Well, ni utetezi tu mkuu ila hata wewe unajua ukweli kwamba ukweli unaosemwa kwa kutumia majina ya bandia hauwezi kuwa effective kama wangu unaosemwa kwa jina kamili na ID kamili, mengine baki nayo ni utetezi tu wa mediocre thinking na fear, kama kweli unachosema ni ukweli why unaogopa?
- Kuitwa kufanya Interview at the National TV kwa sababu wananiona hapa ni hoja sana hawawezi kukuita wewe maana watakutangaza vipi kwenye TV kwamba huyu ndio mtu anayetumia majina ya bandia JF leo tumemuita hapa? hahahahaha please
Le Mutuz
- hahahahahahah waulize wanaoijua watakusaidia jina ok hahahahahaha
Le Mutuz
Mbona wakati upo Marekani ulikuwa utumii jina lako halisi kumtukana Rais Kikwete? Na zile ajira za majuu zimeishia wapi? Tapeli na mwizi mkubwa wewe.
LE MUTUS alikimbia USA na wakina Osman Njaidi..walikua wezi tu wa "chip" za computers..walikamatwa mmoja baada ya mwingine...LE MUTUS ...jamaa maisha ya USA yamemshinda cz hana shule ya maaana ni mpigaji tu...(le mutuz ajibu hizi tuhuma nimezicopy mahali)Mbona wakati upo Marekani ulikuwa utumii jina lako halisi kumtukana Rais Kikwete? Na zile ajira za majuu zimeishia wapi? Tapeli na mwizi mkubwa wewe.
Nimeiona blog ya wananchi ila mbona hiyo habari ya leo inaonyesha ni ya July 2015 wakati huu ni mwezi June 2015?
- Well, sijawahi kumtukana Rais wa Jamhuri infact usichokijua ni kwamba urafiki wa mimi na yeye unaanzia kule kule New York, Sijawahi kujihusisha na ajira ya mtu yoyote na kama kuna hela unasema nilichukua ungewtaja kwa majina niliowachukulia hizo pesa niwarudishie, sometimes ni rahisi sana mtu kujisema mwenyewe tabia zake bila kujua naona lazima una something na utapeli pole sana mimi sio kabisa I am a business man.
Le Mutuz
- Pole jipe mwenyewe super mburulazzz with no brain, mkuu hiki kichwa ni Computer machine chezea wajinga wenzako sio mimi ninaajiri watu kama wewe hapa mjini, ok hahahahahahaha
Le Mutuz
Mkuu unaajili wajinga kwa kazi gani?
- Kumbe na wewe mambo ya Online huyafahamu sana ni kwamba uliloliona ni Tangazo la Biashara ambalo limelipiwa mpaka hiyo siku uliyoina now google search inachukua tarehe ya mwisho iliyowekwa sio tarehe ya leo for matangazo kama hayo nia na madhumuni ni siku ya mwisho yanajitoa yenyewe automatically.
Le Mutuz
LE MUTUS alikimbia USA na wakina Osman Njaidi..walikua wezi tu wa "chip" za computers..walikamatwa mmoja baada ya mwingine...LE MUTUS ...jamaa maisha ya USA yamemshinda cz hana shule ya maaana ni mpigaji tu...(le mutuz ajibu hizi tuhuma nimezicopy mahali)
Unamjuwa Field Marshal Es?
Subiri hapo hapo.