William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Hao waliokubari kuajiliwa na wewe yaonekana bila wewe walikuwa wanafirika mjini. Maana siamini mtu mwenye akili timanu anaweza kukubali kuajiliwa na kiazi kama wewe.
- Siku hizi JF wanaruhusu matusi ya ajabu kama haya najua zamani ilikuwa unakula ban eti vipi mods siku hizi mnaruhusu haya matusi?
- Mkuu nikikujibu nitakuwa shallow mindend kama wewe ila naona unakubali kiaina kwamba huna uwezo mkubwa wa kufikiri mmezoea kutisha watu na matusi ya kizamani hapa sio mimi, haya unayoyasema yote lazima unafanyiwa ndio maana unayajua sana mpaka kuyasema pasipohusu hahahahahahaha umetisha
Le Mutuz