William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
nimeshanga le mutuz kwenye instagram umesema wewe ni mkristo.maajabu haya
wakat humu we ujitangaza ni islam na kumtukana Yesu
Le mutuz usitufanye sisi watoto bhana Anglia hiyo habari ya nyalandu inaonyesha ni ya tarehe ngapi?
Kichwa matope kikiajiri unategemea waajiliwa wakoje? Si bora hata ya misukule. Kweli Tanzania njaa kali.
- No clue! ni nani? na anahusu nini hasa? hahahahaha
Le Mutuz
Leo humjui aliyekuwa anamtukana Rais Kikwete kwa fake id na kutapeli Watanzania maskini kuwa anawatafutia ajira majuu?
Sio lazima mtu utoe matusi hapa ni sehemu ya kujadiliana na kubadilisha mawazo, mtu akitukana ujue ameshindwa so anatafuta neno ili limuumize anayemtukana yeye anayetusi apate kujifarijiHao waliokubari kuajiliwa na wewe yaonekana bila wewe walikuwa wanafirika mjini. Maana siamini mtu mwenye akili timanu anaweza kukubali kuajiliwa na kiazi kama wewe.
Sio lazima mtu utoe matusi hapa ni sehemu ya kujadiliana na kubadilisha mawazo, mtu akitukana ujue ameshindwa so anatafuta neno ili limuumize anayemtukana yeye anayetusi apate kujifariji
Tafuta kazi ya kufanya kubwa zima unaajiliwa na huyu mgonjwa wa stress?
- Tatizo huna FACTS wala EVIDENCE so ni waste of time and space!!
Le Mutuz
Wewe mwenye fact na evidence za Basata ziko wapi zaidi ya kujambajamba tu? Wakongwe wote wa JF wanakujuwa danganya watoto waliojiunga juzi.
Sio lazima mtu utoe matusi hapa ni sehemu ya kujadiliana na kubadilisha mawazo, mtu akitukana ujue ameshindwa so anatafuta neno ili limuumize anayemtukana yeye anayetusi apate kujifariji
Jamani kila mtu ana strategy zake katika kupambana na maisha..mnaposema Lemutuz anajipendekeza kwa watu ili wampe deal sio mbaya so long he is achieving his mission na ndo maana katuonesha ofisi yake ikiwa mjini posta...how many of us can afford to have such office with that location...let call spade a spade he has made it congrats to u bro..badala ya matusi let us take this as challenge na sisi tufikie Malengo ndio maana panaitwa Jf critical thinkers..tuache ku critisize vitu visivyo na msingi...#nawazatuu
- Basata ningekuwa nawasingizia wangeshanishitaki, Majaji 3 wa KTMA walikuwa ni Compromise wa Ali Kiba nimesema na nimewataja kwa majina hakuna aliyebisha na hata wao niliowataja hakuna aliyejitokeza kubisha, Majina ya majajji yalikuwa siri WHY? Sasa kwenye Majaji 3 wa Kiba ulitegemea Dimaond angepata nini zaidi ya yaliyotokea, wewe wacha ujinga Basata wanayo habari na habari yao inakuja very soon kwani wao nani mpaka wote tukae kimyaa kuwaruhusu wavuruge vipaji vya Wasanii wetu?
- I mean katika Basata ya sasa nitajie nani mwenye ujuzi wa Usanii wowote zaidi tu ya wananchi tu wa kawaida? Huku umegusa kwingine kabisa so relax sema mengine ok haya wachana nayo ni ngoma kubwa ambayo soon majibu yake yanakuja!1
Le Mutuz
Jamani kila mtu ana strategy zake katika kupambana na maisha..mnaposema Lemutuz anajipendekeza kwa watu ili wampe deal sio mbaya so long he is achieving his mission na ndo maana katuonesha ofisi yake ikiwa mjini posta...how many of us can afford to have such office with that location...let call spade a spade he has made it congrats to u bro..badala ya matusi let us take this as challenge na sisi tufikie Malengo ndio maana panaitwa Jf critical thinkers..tuache ku critisize vitu visivyo na msingi...#nawazatuu
- Jana nilikuwa kwenye interview ya Mliman TV moja ya swali waliloniuliza ni tunakuona sana JF ukikata ishus na ni moja ya sababu iliyotufanya tukuite hapa, now wewe atakuita nani kwenye National TV na majina yako ya bandia? hahahahahaha akili ndogo leo nitawapa darasa mpaka muelewe kwamba mimi sina ufinyu wa akili kama zenu shallow, watu mpo wengi lakini hamuwezi kunishinda mtu mmoja cause combine akili yenu ni kidogo sana U know hahahahahahah
Le Mutuz
Hiyo si kweli kabisa lemutuz.. mtu anaweza kuwa na jina bandia na akajizolea umaarufu kutokana na kutumia muda mwingi kupoteza muda kuchangia mada JF. Apparently wewe umaarufu wako unatokana na mshangao wa jina la Ukoo wako. Kwamba mtu kama wewe wa age yako mtoto wa kiongozi maarufu unaganga njaa mitandaoni kujibishana hoja dhaifu na ghosts. Wengine humu ndani unawaona akili ndogo pengine ni watu wazito tuu wanakuchora. Muulize Mwakyembe watu waliomchafua mitandaoni ni nani. Alafu huwezi kujiita akili kubwa wakati kiblogu chako cha kichovu kimejaa habari za kukopi na kupaste kutoka blogu za watu wenye akili kama globalpublishers n.k ambao wana post origional reports walizozifanyia kazi. sijui hata hao wanaokulipa wewe kwa kukaa online kukopi / paste ushuzi wanakuonea haya tuu kwa jinsi unavyowashobokea na kujikomba kwao, au labda jina la ukoo au mambo ya chama sijui sipati picha.
Najua unatafuta umaarufu ili upate shavu lakini usipitilize ukawa kama kituko kama kina bruce jenner na makadarshians ambao hawana talent yoyote but wanatafuta umaarufu kwa kujidhalilisha ili tuu wapate hela.
Lemutuz aka kubwa jinga
Kuwa na kampuni ya wafanyakazi watano, kuwa na ofisi downtown na kuwa na acc ya insta inayokupa vicent na pia kuwa na kablog uchwara hakuendani kabisa na hadhi yako unayojisifia unayo
AKILI KUBWA NA DIGIRII TATU
Watu batupendi tu kujitangaza mali zetu wala tunavyo miliki, lakini nikwambie tu kwa umri wako wa miaka zaidi ya hamsini ni sawa na kufaleli maisha kama hivyo ulivyotaja ndio vyanzo vyako vya income pamoja na degirii zako tatu na exposure ya kuishi mbelez
Nina miaka 24 tu but sor far kwa huo "utajiri" wako nakuona pimbi tu
Umri wote huo eti bado unapigania utoke vipi kwa kutukanana na watu kwenye media kupata hela?
Umechezea ujana wako unaruka ruka tu na ngebe nyingi kwa maid fake kwenye social media kumbe ulikua kilaza tu
Umri wako wewe sio wakukaa unasifia vitoto kama akina Diamond na wengine kwaita eti super bilionea wakati we kapuku tu
Tambua upo kwenye fainal mkuu ujana wako wote umeshindwa kutafuta pesa za maana unadhani utakuja kuzipati instagram?
Uli wahi kuambiwa una influence kubwa na ukitaka kuitumia kwenye siasa ukafeli sasa itumie kutafuta hela ya maana na si vilaki laki vya kutukanana na watoto insatagram
Sheria ya maisha inasema kama baba yako alikua na influence kwenye mafanikio basi watoto wananafasi kubwa kuendeleza iwapo wana akili, lakini wewe masikini ni kalaghabaho
Leo hii usitegemee watoto wa obama au bill clinto kuwa vilaza
Angalia watoto wanye baba kama wewe ndio utajitambua ni kilaza kisasi gani