Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.

- Tumia akili what matters about blog ni how much you make pout of it sio anything else, Vodacoma au Airtel hawawezi kuwekeza kwenye blog uchwara, uliza vizuri how is this game played pole sana hahahahahahaha kajipange tena!1

Le Mutuz
 
Unafahamu Masogange alivyokamatwa na madawa ya kulevya ni kina ndio waluomsindikiza JK international airport? Wacha kurukia usiyoyajuwa usidhani kila ofisi inalipiwa na biashara unayoijuwa wewe, biashara nyingi za mjini ni cover tu zuzu wewe.

- nonsense

Le Mutuz
 
Mkuu Wayunani si ni Wagiriki?

Kuna uhusiano gani kati ya Ukristo na taifa la Wayunani hata uwafanye Wayunani wawe kielelezo cha Ukristo...

Amewahi kuruka mtaro kabla haujachimbwa huyo. Muache aendelee na safari.
 
Le Muntuz sawa Uyunani hapa hapakuwa pahala pake
 

Whast ur problem with a person using "fake" ID ilhali hatukani, anaku question kwa hoja au anakuuliza maswali? EG i use santa diaba, inamaanisha broken angel, and ts not fake ila ina maana ktk maisha yangu, I guess t is high time ujitahidi kujibu hoja,
 

- Well, tatizo langu ni mtu anayetumia ID Fake anapouliza uwezo wangu wa kufkiri maana ninahisi wake ndio wenye matatizo cause huwezi kua na akili timamu ukategemea watu wenye akili timamu watakuchukulia serious unapodai unaandika ukweli kwa kutumia ID Fake, hahhahahahahahhahaha

Le Mutuz
 
Hiyo ni tafsiri yako! Ungetafuta ufafanuzi kutoka kwake ungekuwa umefanya la maana.
 
Unaamini kuna watu wengine wanapenda kubaki anonymous? And anaeza akawa na ID tofauti na jina lake ila hatukani? And amefikiria faida na hasara za kujiexpose mtandaoni, mf ww maisha yako unayaendesha kwa biashara ya mtandaoni so I guess ts fair kujiexpose, pima mtu anachoongea.. mf I personaly dont knw u, actually nimeanza kukusikia IG baada ya fuds zako na seth, and one thing nilichoobserve u dont want a person to challenge U, u might rise a topic analysing it and u just want people to agree,
 

Umemwambia ukweli, atajibu pumbapumba na kubadili maneno.
 

Hana hoja, he is way too obsessed na fake IDs
Hoja hajibu anaruka ruka na kuabadili maneno na kujichekesha chekesha kama mwehu tu.
 

- Well, ningekuwa sipendi challenge nisingekuwa hapa najibu haya maswali kama yako, for some reason Wabongo hawawezi kuku challenge kwenye Social Media bila kutumia matusi now my Instagram inatumika sana kwa matangazo ya biashara wenye matangazo hawapendi matusi ndio maana ukiandika matusi ninakutimua,

- Kama unatumia ID fake ninasema tena huna any right ya kuuliza wanaotumia real ID kama mimi uwezo wa wetu wa kufikiri ninadhani unahitaji kuangalia uwezo wako kwanza kama upo sawa, mengine yote hayana nafasi kwenye maelezo yako!!

Le Mutuz
 
Umemwambia ukweli, atajibu pumbapumba na kubadili maneno.

- Kama ni ukweli unatakiwa umsaidie mwenyewe to me ni pure nonsense, angalau angesema yeye ana maisha bora kuliko mimi yeye anataja marafiki zangu ambao ninashirikiana nao kwa karibu sana na kila siku, hapa mjini mtu akidhani wewe sio level yake hawezi kujishirikisha na wewe now hao anaowasema mimi binafsi nawaona wa kawaida tu thewy have life and I have life too hahahahahaa mnanichekesha sana na maneno mengi sana hewa

Le Mutuz
 

Oh Lord, so simply because sm1 is not using his or her real name auto mawazo yake yanakua shallow?? Oops, and is LE MUTUS ur real name? Cuz handke yako IG inajina hilo
 
Kwa majibizano haya ya Le Mutus vs Wadau, Baba Haji must be laughing his a** off right now Hahaaaaa.
 
Kwa majibizano haya ya Le Mutus vs Wadau, Baba Haji must be laughing his a** off right now Hahaaaaa.

- hahahahaha sure ila tutakapofika mahakamani sidhani kama kutakuwa na kicheko tena na I wish ungejua kinachoendelea sasa hivi infact mimi ndiye ninayecheka now hahahahahahaha

Le Mutuz
 
Oh Lord, so simply because sm1 is not using his or her real name auto mawazo yake yanakua shallow?? Oops, and is LE MUTUS ur real name? Cuz handke yako IG inajina hilo

- Nilijua kuwa huuwezi huu mjadala ulizana vizuri sasa tayari umeishiwa hahahahahahahaha sasa kwa nini huwa mnanichokoza na huku mnajua kwamba hamuezi debate na AKILI KUBWAZZZZ U know hahahahaha

Le Mutuz
 

Lakini kwenye ile sheria yenu ungefungwa!my point ilikua nikuonyeshe saa nyingine usidandie vitu na kuvipigia debe mbele vikaku back fire!refer Obasanjo na Kaunda walivyokua hawataki kuondoa sheria inayompa Rais uwezo wa kumuweka mtu kizuizini na baadae zikawaumiza wenyewe
 
- Nilijua kuwa huuwezi huu mjadala ulizana vizuri sasa tayari umeishiwa hahahahahahahaha sasa kwa nini huwa mnanichokoza na huku mnajua kwamba hamuezi debate na AKILI KUBWAZZZZ U know hahahahaha

Le Mutuz

Hivi lemutuz umewahi kujiuliza siku ukifa waombolezaji watakuwa wanaongea maneno gani msibani kuhusu marehemu? Hahahahaha au kwenye social media watu wataandika nini kuhusu wewe???
 

- Well hizi ni chuki tu pole sana ila wrong number makosa kwenye habari ni kawaida sana, hata hapa JF huwa kuna habari nyingi zinakosewa zinarekebishwa so relax huna hoja!!

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…