Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
hili kubwa jinga kuna siku nilika challenge huko ,kalivyo hovyo kakani block..
alafu eti anajiita king of all social media,my foot,king gani akubali challanges ??
hata humu jf alishawai sema yeye ni mmoja wa wamiliki,I wonder why humu kila kukicha tunam challenge mod lakini hatupigwi ban,mpaka upigwe ban then kosa lako deserves the ban.
lakini huyu jamaa,yeye ukim challenge tu unalo,kasha kub block.
 
Teh Teh hii thread ni vituko vitupu..
 
Mkuu Wayunani si ni Wagiriki?

Kuna uhusiano gani kati ya Ukristo na taifa la Wayunani hata uwafanye Wayunani wawe kielelezo cha Ukristo...

Wayunani kwenye biblia walichukuliwa kama watu wasio wayahudi bali niwa mataifa mengine !
 

Le Mutuz kama unafungua radio mie nadeal na radio transmitters za 1000watts and above pamoja na radio antennas& accessories pamoja na installations zote including towers.Kwa serious issues tutafutane i will PM My number & email !
 
Bilionea Le Mutuz ameshindwa kumpa hata laki mbili baba haji? Kweli usawa unakaba dola sh 2,262.
 
Mimi aliyeniacha hoi si huyo le mutuz bali ni huyo aliyeisikia hiyo habari na kuifanyia reseach mpaka akapata majibu......ni balaa....
 
ndio maana hizo degree zake kazisoma muda wake wote wa ujana, kagraduate na umri wa kustaafu umefika.. nani atamuajiri sasa, mwacheni ajikombe
 

Hahahaha umenifanya nicheke kwa sauti
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…