Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
hili kubwa jinga kuna siku nilika challenge huko ,kalivyo hovyo kakani block..
alafu eti anajiita king of all social media,my foot,king gani akubali challanges ??
hata humu jf alishawai sema yeye ni mmoja wa wamiliki,I wonder why humu kila kukicha tunam challenge mod lakini hatupigwi ban,mpaka upigwe ban then kosa lako deserves the ban.
lakini huyu jamaa,yeye ukim challenge tu unalo,kasha kub block.
 
Teh Teh hii thread ni vituko vitupu..
 
Mkuu Wayunani si ni Wagiriki?

Kuna uhusiano gani kati ya Ukristo na taifa la Wayunani hata uwafanye Wayunani wawe kielelezo cha Ukristo...

Wayunani kwenye biblia walichukuliwa kama watu wasio wayahudi bali niwa mataifa mengine !
 
- Super Bilionea Davis Mosha ni my business patner uhusiano wetu ni wa kibiashara, tupo kwenye Capitalism mkuu ukiwa na akili kuba kama yangu unakua na idea unaiuza kwa Wawekezaji Wakubwa kina Davis Mosha and then idea inafanyiwa kazi na sasa hivi Super Bilionea wa Uganda Michael Mukula naye amejiunga na hii idea sijui kama unajua kuwa anamiliki Radio na TV Stations kama 50 Afrika nzima so atatupa power ya kufikia bongo nzima na East Afrika nzima,

- Wabongo amkeni kwenye usingizi mzito wa kuamini kuwa ni mpaka uwe na hela kubwa ndio unaweza kuanzisha miradi mikubwa, matokeo yake wageni kibao wanakuja hapa na ideas tu wanawauzia Wawekezaji wanavuta pesa sisi tumekalia majungu tu yule sio kampuni yake, pole sana mkuu akili ni mali kila mtu ana zake na for sure wewe huna hahahahahaha mkuu ni kweli Pesa nzima ya kununua mitambo ya Radio na TV mimi binafsi sina ila nina AKILI KUBWA ya kuwashawishi wenye pesa kubwa wakawekeza kwenye my idea na ikaishia kunilipa, nilimuuzia Tajiri mmoja hapa mjini idea ya ICD akakubali akawekeza na sasa hivi anavuta pesa kubwa na mimi ninavuta my share, ndio maana ya AKILI KUBWA ambayo wewe hunazzz hahahahahaha U know

Le Mutuz

Le Mutuz kama unafungua radio mie nadeal na radio transmitters za 1000watts and above pamoja na radio antennas& accessories pamoja na installations zote including towers.Kwa serious issues tutafutane i will PM My number & email !
 
Bilionea Le Mutuz ameshindwa kumpa hata laki mbili baba haji? Kweli usawa unakaba dola sh 2,262.
 
Mimi aliyeniacha hoi si huyo le mutuz bali ni huyo aliyeisikia hiyo habari na kuifanyia reseach mpaka akapata majibu......ni balaa....
 
ndio maana hizo degree zake kazisoma muda wake wote wa ujana, kagraduate na umri wa kustaafu umefika.. nani atamuajiri sasa, mwacheni ajikombe
 
Bonge nyanya wewe
Wacha kubadilisha mada,
Hakuna wakati wowote niliojifananisha na huyo bwana wako.
Utakufa wewe kwanza zeze wewe.
Huna ubavu wa kunitoa uhai...
Kubwa zima kazi kusifia matajiri, watakuwa wameshakufunua ndio maana hawakuishi hamu.
Mie ntakufa maskini ila wewe utaishi milele na akili yako ya mende kupenda chooni

Hahahaha umenifanya nicheke kwa sauti
 
980a64895bfced6489d41d63a4958ed8.jpg
390922484f64eb6dd0e0a1a038cb9367.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom