East 24! Busted......Now i know who you are.
nikufanyie mpango kwa Le Akili upate Complimentary ya Breakfast Double Tree weekend hii?Evelyn Salt nikumbushe ule msemo wako wa ... wa maonyesho!
nikufanyie mpango kwa Le Akili upate Complimentary ya Breakfast Double Tree weekend hii?
Hahah...super bilionear na mabebez ndio penyewe ila ile ya mwanzo hukutupa mrejesho mpaka leo...Dah utakuwa umenifaa kinoma, kama supa bilioneaz watakuwepo itakuwa supa sana.
Hahah...super bilionear na mabebez ndio penyewe ila ile ya mwanzo hukutupa mrejesho mpaka leo...
Nimecheka mpaka machozi yamenitoka! Mzee Joni angekuwa anapitia hapa na kusoma post hii nadhani ingemfikirisha sanamagoli kama haya mzazi unaombea bora ungepiga punyeto tu
hahaha! umenichekesha sana, USA baby!East 24! Busted......Now i know who you are.
Ile nilikosaga mwaliko bro, kama unakumbuka wewe ndo ulipata mwaliko ukasema huendi kwa sababu yule dogo Congcong Wang hakwenda.
Hahahaha Broo...
nasubscribe hapa nimsubiri Le Super Star Akili kubwa akija nimuombe sana atukutanishe na masuper billioneaz weekend na zile kahawa tutakunywa tu hata kama jua ni kali
Unatakiwa kujua kuwa watu wanampenda sana Lemutuz hasa hili jukwaa sio kwamba wanamchukia bali wanafurahi uwepo wake...!Comments nyingi kwenye huu uzi zimenichekesha sana. Hasa pale mwenyewe alipojitokeza kusema na watu wake hahaha πππ
Binafsi sidhani kama kuna siku nitajipa nafasi ya kujadili mtu anavyoendesha maisha yake, labda nitajihusisha na maisha ya mtoto wangu ambaye bado namlea na mtu ambaye anaweza kuniambukiza ugonjwa. Mimi nakwenda sana kiwanja ila sijawai kupiga picha huko kwa vile sina pa kuzipeleka... sijawai kupost chochote facebook, intagram nina followers 110 hivi ambao sielewi wanafollow nini kwa vile sijapost chochote, naitumia kucheki vitu ninavyovitaka mwenyewe
Lakini hiyo hainipi hasira ya kushambulia watu ambao wana vitu vya kupost
Honestly, am very much inspired by the spirit this man shows.
Regardless how bad people talk about him, he keeps on doing his things, he keeps on moving, he keeps on getting busy with his business...
Unatakiwa kujua kuwa watu wanampenda sana Lemutuz hasa hili jukwaa sio kwamba wanamchukia bali wanafurahi uwepo wake...!
Wengi wana anzisha nyuzi ili aje kujibu wafurahi!
Mi binafsi napenda sana anavyo jibu kila mtu huniongezea siku kila nionapo comments zake...huwa nacheka sana