Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
Kila mtu anajifanya anamjua na kumwelezea kana kwamba ni rafiki yake "super muguli friend" cheki sasa alivyo aibika huko ista Amefuta huo upuuzi wake.
Kila anachocomment hapa ni pumbalist.
 
Kwa umri wake wa miaka 56 hao mabebebzzzzzzzz atawafanya nini bali kuwa kuwadi wa hao wanaomtuma kwenda kununua hamburgers!!
 
Hahah...super bilionear na mabebez ndio penyewe ila ile ya mwanzo hukutupa mrejesho mpaka leo...

Ile nilikosaga mwaliko bro, kama unakumbuka wewe ndo ulipata mwaliko ukasema huendi kwa sababu yule dogo Congcong Wang hakwenda.
 
Ile nilikosaga mwaliko bro, kama unakumbuka wewe ndo ulipata mwaliko ukasema huendi kwa sababu yule dogo Congcong Wang hakwenda.

Hahahaha Broo...

nasubscribe hapa nimsubiri Le Super Star Akili kubwa akija nimuombe sana atukutanishe na masuper billioneaz weekend na zile kahawa tutakunywa tu hata kama jua ni kali
 
Hahahaha Broo...

nasubscribe hapa nimsubiri Le Super Star Akili kubwa akija nimuombe sana atukutanishe na masuper billioneaz weekend na zile kahawa tutakunywa tu hata kama jua ni kali

Safi sana mkuu, maana this chance comes once in a life time, to meet these Super Moguls Super Billionaires, aaaah, am humbled you know.
 
Comments nyingi kwenye huu uzi zimenichekesha sana. Hasa pale mwenyewe alipojitokeza kusema na watu wake hahaha 😀😀😀

Binafsi sidhani kama kuna siku nitajipa nafasi ya kujadili mtu anavyoendesha maisha yake, labda nitajihusisha na maisha ya mtoto wangu ambaye bado namlea na mtu ambaye anaweza kuniambukiza ugonjwa. Mimi nakwenda sana kiwanja ila sijawai kupiga picha huko kwa vile sina pa kuzipeleka... sijawai kupost chochote facebook, intagram nina followers 110 hivi ambao sielewi wanafollow nini kwa vile sijapost chochote, naitumia kucheki vitu ninavyovitaka mwenyewe

Lakini hiyo hainipi hasira ya kushambulia watu ambao wana vitu vya kupost
Unatakiwa kujua kuwa watu wanampenda sana Lemutuz hasa hili jukwaa sio kwamba wanamchukia bali wanafurahi uwepo wake...!
Wengi wana anzisha nyuzi ili aje kujibu wafurahi!

Mi binafsi napenda sana anavyo jibu kila mtu huniongezea siku kila nionapo comments zake...huwa nacheka sana
 
Le super mburulaz u know hahaha nipo na mabebez wakareez NAKURA maisha at downtown,nyie gadem mburulaz hamjui hahaahaa(in lemutuzi voisi)
 
Honestly, am very much inspired by the spirit this man shows.
Regardless how bad people talk about him, he keeps on doing his things, he keeps on moving, he keeps on getting busy with his business...

forever 21... forever young its wonderful!
 
Unatakiwa kujua kuwa watu wanampenda sana Lemutuz hasa hili jukwaa sio kwamba wanamchukia bali wanafurahi uwepo wake...!
Wengi wana anzisha nyuzi ili aje kujibu wafurahi!

Mi binafsi napenda sana anavyo jibu kila mtu huniongezea siku kila nionapo comments zake...huwa nacheka sana

Hata mimi nimecheka sana alipoanza kujibu watu wake kwa picha. Halafu anakatisha tamaa kinoma kuna jamaa ameamua kumpa shkamoo tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom