Tetesi: Ukata wa fedha na ugumu wa maisha watesa viongozi wa CHADEMA Taifa

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Hali ya maisha ya viongozi wa kuu wa chadema taifa ni mbaya, inatia huruma na kusikitisha sana. Ni kama vile wametelekezwa, wanapitia maisha magumu na ya fedhea sana kutokana na ukata wa fedha unaokikumba chama hicho kwa sasa.

Ikumbukwe kwamba wengi wa viongozi wa kitaifa wa chadema hawana ajira na kwahivyo walikua wakitegemea fedha kidogo za tonetone kidigitali na tonetone kwenye kibakuli ili kujikimu kimaisha.
Baada ya chama hicho kupigwa marufuku ya kufanya mikutano ya kisiasa kwasababu ya migogoro ya kifedha ndani ya chama hicho, na michango ya tonetone kukauka, viongozi wake hao wanahaha kupata chochote kitu kwa kupiga vizinga vya fedheha sana.

Kama wadau wa siasa nchini,
unashauri nini kifanyike kufuta aibu hiyo ya kiuchumi wanayoipitia viongozi hao wa chadema taifa?
Viongozi wengine wa kisiasa wajifunze nini kutokana na fedheha hii?

Mungu Ibariki Tanzania.
 
A fool enlightens himself with stupidity, comforts himself with insanity.
calm dowm plz gentleman,
akina heche wanateseka mno na kaushadamu gentleman,

wanachama okoeni jahazi plz, acheni mihemko ya kinyumbu dhidi ya ukweli
 
Chama kipo.moyoni kaka ccm,mmewekeza kwenye mali. Ndyo maana kila siku mnateka wapinzan.lakn bado upo sababu upo moyoni

Sisi kwetu ugali tembele n moja ya maisha hatujali
 
Watoe wapi pesa wakati wamefungiwa? Na mifereji yote ya wizi wa mali ya umma imeshikiliwa na mamaduro na machawa zake? unatumia kichwa cha chini kufikiria?
 
Chama kipo.moyoni kaka ccm,mmewekeza kwenye mali. Ndyo maana kila siku mnateka wapinzan.lakn bado upo sababu upo moyoni

Sisi kwetu ugali tembele n moja ya maisha hatujali
pesa ni sabuni ya ngozi, roho na moyo gentleman,
akina heche wamechakaa kinoma aise dah :pedroP:
 
Kama.wamechakaa mbona bado mnawazungumzia na kuwazuia wasifanye shughul.zao za kisiasa

Mtu kachakaa lakn mnamweka gerezani
 
lazima ni waelezee huenda kuna wasamaria wa kuwasitiri hao wangwana wanaoteseka na kufedheheka sana kwa kupiga watu vizinga visivyoisha,

wa gerezani kachoka hadi huruma aise dah:1Head:
 
Hali ya maisha ya viongozi wa kuu wa chadema taifa ni mbaya, inatia huruma na kusikitisha sana. Ni kama vile wametelekezwa, wanapitia maisha magumu na ya fedhea sana kutokana na ukata wa fedha unaokikumba chama hicho kwa sasa.

Ikumbukwe kwamba wengi wa viongozi wa kitaifa wa chadema hawana ajira na kwahivyo walikua wakitegemea fedha kidogo za tonetone kidigitali na tonetone kwenye kibakuli ili kujikimu kimaisha.
Baada ya chama hicho kupigwa marufuku ya kufanya mikutano ya kisiasa kwasababu ya migogoro ya kifedha ndani ya chama hicho, na michango ya tonetone kukauka, viongozi wake hao wanahaha kupata chochote kitu kwa kupiga vizinga vya fedheha sana.

Kama wadau wa siasa nchini,
unashauri nini kifanyike kufuta aibu hiyo ya kiuchumi wanayoipitia viongozi hao wa chadema taifa?
Viongozi wengine wa kisiasa wajifunze nini kutokana na fedheha hii?

Mungu Ibariki Tanzania.
Kwahiyo wewe ndiye unawalisha, naona mimba yako changa inakusumbua unahitaji udongo wa Kigoma.
 
Hapa ndio unaona umecheza mindgame la hatari. Cdm imeshashindikana kwa hizi propaganda outdated.
 
Huyo wa gerezani kosa lake lipi
 
Kwahiyo wewe ndiye unawalisha, naona mimba yako changa inakusumbua unahitaji udongo wa Kigoma.
walipaswa kau na ajira au angalau na kitu fulani cha kuwaigizia kipato gentleman :pedroP:

sasa wao wakategemea tonetone kidigitali na tonetone kwenye kibakuli, na hivyo vitega uchumi vya chama ambavyo nao walikua wanadokoa na kujikimu kimaisha, vimekauka:pedroP:

aise jamaa wanapiga vizinga hatari, ni aibu aise dah
 
Hapa ndio unaona umecheza mindgame la hatari. Cdm imeshashindikana kwa hizi propaganda outdated.
Gentleman,
ukweli lazima ufichuliwe ili kuaona namna ya kusaidia hao wangwana kupata ahueni ya kiuchumi, vinginevyo wanaumia, wanateseka na kufedheheka mno kiuchumi ndrugu zangu wadau,

acheni masikhara na kujifanya hamuoni
 
Hali ya maisha ya viongozi wa kuu wa chadema taifa ni mbaya, inatia huruma na kusikitisha sana. Ni kama vile wametelekezwa, wanapitia maisha magumu na ya fedhea sana kutokana na ukata wa fedha unaokikumba chama hicho kwa sasa.

Ikumbukwe kwamba wengi wa viongozi wa kitaifa wa chadema hawana ajira na kwahivyo walikua wakitegemea fedha kidogo za tonetone kidigitali na tonetone kwenye kibakuli ili kujikimu kimaisha.
Baada ya chama hicho kupigwa marufuku ya kufanya mikutano ya kisiasa kwasababu ya migogoro ya kifedha ndani ya chama hicho, na michango ya tonetone kukauka, viongozi wake hao wanahaha kupata chochote kitu kwa kupiga vizinga vya fedheha sana.

Kama wadau wa siasa nchini,
unashauri nini kifanyike kufuta aibu hiyo ya kiuchumi wanayoipitia viongozi hao wa chadema taifa?
Viongozi wengine wa kisiasa wajifunze nini kutokana na fedheha hii?

Mungu Ibariki Tanzania.
downloadfile.jpg
 
Back
Top Bottom