Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Kumbe licha ya kuumwa lakini ni mpuuzi kiasi hikiAcha yafe tu na njaa

Chizi karogwa tena kumbe chadema bado ipo maana ulikuwa unawaaminisha watu kwamba chadema ilishakufa.Hali ya maisha ya viongozi wa kuu wa chadema taifa ni mbaya, inatia huruma na kusikitisha sana. Ni kama vile wametelekezwa, wanapitia maisha magumu na ya fedhea sana kutokana na ukata wa fedha unaokikumba chama hicho kwa sasa.
Ikumbukwe kwamba wengi wa viongozi wa kitaifa wa chadema hawana ajira na kwahivyo walikua wakitegemea fedha kidogo za tonetone kidigitali na tonetone kwenye kibakuli ili kujikimu kimaisha.
Baada ya chama hicho kupigwa marufuku ya kufanya mikutano ya kisiasa kwasababu ya migogoro ya kifedha ndani ya chama hicho, na michango ya tonetone kukauka, viongozi wake hao wanahaha kupata chochote kitu kwa kupiga vizinga vya fedheha sana.
Kama wadau wa siasa nchini,
unashauri nini kifanyike kufuta aibu hiyo ya kiuchumi wanayoipitia viongozi hao wa chadema taifa?
Viongozi wengine wa kisiasa wajifunze nini kutokana na fedheha hii?
Mungu Ibariki Tanzania.
Wanaotembelea viyoyozi na kugawana keki ya Taifa hawana uhalali kuwepo walipo...Hali ya maisha ya viongozi wa kuu wa chadema taifa ni mbaya, inatia huruma na kusikitisha sana. Ni kama vile wametelekezwa, wanapitia maisha magumu na ya fedhea sana kutokana na ukata wa fedha unaokikumba chama hicho kwa sasa.
Ikumbukwe kwamba wengi wa viongozi wa kitaifa wa chadema hawana ajira na kwahivyo walikua wakitegemea fedha kidogo za tonetone kidigitali na tonetone kwenye kibakuli ili kujikimu kimaisha.
Baada ya chama hicho kupigwa marufuku ya kufanya mikutano ya kisiasa kwasababu ya migogoro ya kifedha ndani ya chama hicho, na michango ya tonetone kukauka, viongozi wake hao wanahaha kupata chochote kitu kwa kupiga vizinga vya fedheha sana.
Kama wadau wa siasa nchini,
unashauri nini kifanyike kufuta aibu hiyo ya kiuchumi wanayoipitia viongozi hao wa chadema taifa?
Viongozi wengine wa kisiasa wajifunze nini kutokana na fedheha hii?
Mungu Ibariki Tanzania.
Wamekuja kukukopa?Hali ya maisha ya viongozi wa kuu wa chadema taifa ni mbaya, inatia huruma na kusikitisha sana. Ni kama vile wametelekezwa, wanapitia maisha magumu na ya fedhea sana kutokana na ukata wa fedha unaokikumba chama hicho kwa sasa.
Ikumbukwe kwamba wengi wa viongozi wa kitaifa wa chadema hawana ajira na kwahivyo walikua wakitegemea fedha kidogo za tonetone kidigitali na tonetone kwenye kibakuli ili kujikimu kimaisha.
Baada ya chama hicho kupigwa marufuku ya kufanya mikutano ya kisiasa kwasababu ya migogoro ya kifedha ndani ya chama hicho, na michango ya tonetone kukauka, viongozi wake hao wanahaha kupata chochote kitu kwa kupiga vizinga vya fedheha sana.
Kama wadau wa siasa nchini,
unashauri nini kifanyike kufuta aibu hiyo ya kiuchumi wanayoipitia viongozi hao wa chadema taifa?
Viongozi wengine wa kisiasa wajifunze nini kutokana na fedheha hii?
Mungu Ibariki Tanzania.
Kwamba wewe unautajiri zaidi ya Bwana John Heche?Acha yafe tu na njaa
Wape kijambio basiHali ya maisha ya viongozi wa kuu wa chadema taifa ni mbaya, inatia huruma na kusikitisha sana. Ni kama vile wametelekezwa, wanapitia maisha magumu na ya fedhea sana kutokana na ukata wa fedha unaokikumba chama hicho kwa sasa.
Ikumbukwe kwamba wengi wa viongozi wa kitaifa wa chadema hawana ajira na kwahivyo walikua wakitegemea fedha kidogo za tonetone kidigitali na tonetone kwenye kibakuli ili kujikimu kimaisha.
Baada ya chama hicho kupigwa marufuku ya kufanya mikutano ya kisiasa kwasababu ya migogoro ya kifedha ndani ya chama hicho, na michango ya tonetone kukauka, viongozi wake hao wanahaha kupata chochote kitu kwa kupiga vizinga vya fedheha sana.
Kama wadau wa siasa nchini,
unashauri nini kifanyike kufuta aibu hiyo ya kiuchumi wanayoipitia viongozi hao wa chadema taifa?
Viongozi wengine wa kisiasa wajifunze nini kutokana na fedheha hii?
Mungu Ibariki Tanzania.
Tena pate kelebu ya mdondo huyo!