pesa ni sabuni ya ngozi, roho na moyo gentleman,Chama kipo.moyoni kaka ccm,mmewekeza kwenye mali. Ndyo maana kila siku mnateka wapinzan.lakn bado upo sababu upo moyoni
Sisi kwetu ugali tembele n moja ya maisha hatujali
Kama.wamechakaa mbona bado mnawazungumzia na kuwazuia wasifanye shughul.zao za kisiasapesa ni sabuni ya ngozi, roho na moyo gentleman,
akina heche wamechakaa kinoma aise dah
lazima ni waelezee huenda kuna wasamaria wa kuwasitiri hao wangwana wanaoteseka na kufedheheka sana kwa kupiga watu vizinga visivyoisha,Kama.wamechakaa mbona bado mnawazungumzia na kuwazuia wasifanye shughul.zao za kisiasa
Mtu kachakaa lakn mnamweka gerezani
Kwahiyo wewe ndiye unawalisha, naona mimba yako changa inakusumbua unahitaji udongo wa Kigoma.Hali ya maisha ya viongozi wa kuu wa chadema taifa ni mbaya, inatia huruma na kusikitisha sana. Ni kama vile wametelekezwa, wanapitia maisha magumu na ya fedhea sana kutokana na ukata wa fedha unaokikumba chama hicho kwa sasa.
Ikumbukwe kwamba wengi wa viongozi wa kitaifa wa chadema hawana ajira na kwahivyo walikua wakitegemea fedha kidogo za tonetone kidigitali na tonetone kwenye kibakuli ili kujikimu kimaisha.
Baada ya chama hicho kupigwa marufuku ya kufanya mikutano ya kisiasa kwasababu ya migogoro ya kifedha ndani ya chama hicho, na michango ya tonetone kukauka, viongozi wake hao wanahaha kupata chochote kitu kwa kupiga vizinga vya fedheha sana.
Kama wadau wa siasa nchini,
unashauri nini kifanyike kufuta aibu hiyo ya kiuchumi wanayoipitia viongozi hao wa chadema taifa?
Viongozi wengine wa kisiasa wajifunze nini kutokana na fedheha hii?
Mungu Ibariki Tanzania.
Hapa ndio unaona umecheza mindgame la hatari. Cdm imeshashindikana kwa hizi propaganda outdated.Hali ya maisha ya viongozi wa kuu wa chadema taifa ni mbaya, inatia huruma na kusikitisha sana. Ni kama vile wametelekezwa, wanapitia maisha magumu na ya fedhea sana kutokana na ukata wa fedha unaokikumba chama hicho kwa sasa.
Ikumbukwe kwamba wengi wa viongozi wa kitaifa wa chadema hawana ajira na kwahivyo walikua wakitegemea fedha kidogo za tonetone kidigitali na tonetone kwenye kibakuli ili kujikimu kimaisha.
Baada ya chama hicho kupigwa marufuku ya kufanya mikutano ya kisiasa kwasababu ya migogoro ya kifedha ndani ya chama hicho, na michango ya tonetone kukauka, viongozi wake hao wanahaha kupata chochote kitu kwa kupiga vizinga vya fedheha sana.
Kama wadau wa siasa nchini,
unashauri nini kifanyike kufuta aibu hiyo ya kiuchumi wanayoipitia viongozi hao wa chadema taifa?
Viongozi wengine wa kisiasa wajifunze nini kutokana na fedheha hii?
Mungu Ibariki Tanzania.
Huyo wa gerezani kosa lake lipilazima ni waelezee huenda kuna wasamaria wa kuwasitiri hao wangwana wanaoteseka na kufedheheka sana kwa kupiga watu vizinga visivyoisha,
wa gerezani kachoka hadi huruma aise dah
walipaswa kau na ajira au angalau na kitu fulani cha kuwaigizia kipato gentlemanKwahiyo wewe ndiye unawalisha, naona mimba yako changa inakusumbua unahitaji udongo wa Kigoma.
Gentleman,Hapa ndio unaona umecheza mindgame la hatari. Cdm imeshashindikana kwa hizi propaganda outdated.
Hali ya maisha ya viongozi wa kuu wa chadema taifa ni mbaya, inatia huruma na kusikitisha sana. Ni kama vile wametelekezwa, wanapitia maisha magumu na ya fedhea sana kutokana na ukata wa fedha unaokikumba chama hicho kwa sasa.