Tetesi: Ukata wa fedha na ugumu wa maisha watesa viongozi wa CHADEMA Taifa

Chizi karogwa tena kumbe chadema bado ipo maana ulikuwa unawaaminisha watu kwamba chadema ilishakufa.
 
Wanaotembelea viyoyozi na kugawana keki ya Taifa hawana uhalali kuwepo walipo...

Polic+Tiss+Jw...hapoo ndio power ya wahuni ipo,otherws wepes sana kama karatasi!
 
Wamekuja kukukopa?
 
Wape kijambio basi
 
Kwa aina hii ya bandiko mbona wewe mwenyewe una ukata?
 
Wanaotembelea viyoyozi na kugawana keki ya Taifa hawana uhalali kuwepo walipo...

Polic+Tiss+Jw...hapoo ndio power ya wahuni ipo,otherws wepes sana kama karatasi!
jamaa wanapitia mateso ya kiuchumi ya fedhea sana gentleman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…