Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Nakuelewa hata falme ya Rumanyika ilikuwa ni Watutsi kama ndio kundi hili hupenda kujitambulisha kuwa wao ni Wanyambo.

Na mna kitabu chenu kinachoeleza asili yenu kikiwa na majina kabisa.

Ili kujitofautisha na watusi ambao walivamia Karagwe kwa ajili ya malisho.

Ila kinyambo kinashahabiana na kinyarwanda, Kinyankole ila sio kihaya.

Shukrani
 
Mipaka aliweka mkoloni!!!Babu zangu waliniadithia kua mababu wa babu zao walikua wanapigana vita na koo za utawala wa Rumanyika wa kwanza na moo za utawala wa chifu Mukenzi wa kwanza wa Banyarwanda!!!Wanyambo ni koo za kitusi na kinyankore kama walivyo wahaya na koo za Baganda na koo za Kinyankore!!!!Mipaka ya wakoloni ndio iliwatenganisha
 
Mtutsi wa rwanda au burundi?
Mababu wa mababu zangu walitokea pande za Rwanda ila miaka hiyo hakukuwepo na Nchi ya Rwanda au Burundi au Tanganyika!!!Kulikua na koo za kifalme na koo za machifu tu!!!Walikua wafugaji wanaohamahama na mifugo afu wapiganaji wanaoteka aridhi na kuiba mifugo!!!Lakini lugha zao zinashabihana Kinyarwanda,Kirundi,kinyankore,kiganda,kinyoro na kihaya!!!!Mipaka Ali let a mzungu miaka ya 1800,s!!
 
Upo sahii kaka ni kweli
 
Ni kweli Wanyambo ni koo za kinyarandwa hasa za kitusi wale wafuga ngombe na pia koo za kinyankore kama walivyo wahaya na koo za baganda!!!!Asilimia 30% ni kihaya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…