MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Nakuelewa hata falme ya Rumanyika ilikuwa ni Watutsi kama ndio kundi hili hupenda kujitambulisha kuwa wao ni Wanyambo.Mimi babu zangu ni wa kitambo sana na hata lugha yao inashabihana na kinyankole na kihaya na kiganda asilimia kubwa!!Sizungumzii wahamiaji wa miaka ya 50,s na 60!!!!Mimi nazungumzia koo za kichifu za babu zangu walikua askari wa kukodiwa na machifu wengine kuiba mifugo na kupigana vita kabla hata mkoloni hajachora mipaka wala kufika!!!Hawa waliokimbia machafuko miaka ya1920,1940,1950 na 1960 walikuta babu zangu wapo karagwe zaidi ya miaka 400!!Ni kama Wamanyema wa kigoma au Watusi wa Kongo DRC wapo pande zote!!!!Umeelewa mdogo wangu
Na mna kitabu chenu kinachoeleza asili yenu kikiwa na majina kabisa.
Ili kujitofautisha na watusi ambao walivamia Karagwe kwa ajili ya malisho.
Ila kinyambo kinashahabiana na kinyarwanda, Kinyankole ila sio kihaya.
Shukrani