Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Mimi babu zangu ni wa kitambo sana na hata lugha yao inashabihana na kinyankole na kihaya na kiganda asilimia kubwa!!Sizungumzii wahamiaji wa miaka ya 50,s na 60!!!!Mimi nazungumzia koo za kichifu za babu zangu walikua askari wa kukodiwa na machifu wengine kuiba mifugo na kupigana vita kabla hata mkoloni hajachora mipaka wala kufika!!!Hawa waliokimbia machafuko miaka ya1920,1940,1950 na 1960 walikuta babu zangu wapo karagwe zaidi ya miaka 400!!Ni kama Wamanyema wa kigoma au Watusi wa Kongo DRC wapo pande zote!!!!Umeelewa mdogo wangu
Nakuelewa hata falme ya Rumanyika ilikuwa ni Watutsi kama ndio kundi hili hupenda kujitambulisha kuwa wao ni Wanyambo.

Na mna kitabu chenu kinachoeleza asili yenu kikiwa na majina kabisa.

Ili kujitofautisha na watusi ambao walivamia Karagwe kwa ajili ya malisho.

Ila kinyambo kinashahabiana na kinyarwanda, Kinyankole ila sio kihaya.

Shukrani
 
Wapo
umeitembelea Karagwe?
Umeitembelea Kyerwa?
Umeitembelea Umurushaka?
Umefika Kibingo?
Usiisahau Kaisho na vijiji vyake?

Unafahamu familia tu ya Chief Rumanyika ni watutsi?
Je nao Wakimbizi?

Waliopewa Uraia miaka ya 1960 na Nyerere nao ni Wakimbizi?

Wapo pia Tabora kule kaliua na Ng'ombe zao
Wapo pia Mpanda
Wapo Sumbawanga

Usibishe jambo usilo lijua ila wote wanajitambulisha kuwa ni Wanyambo
Mipaka aliweka mkoloni!!!Babu zangu waliniadithia kua mababu wa babu zao walikua wanapigana vita na koo za utawala wa Rumanyika wa kwanza na moo za utawala wa chifu Mukenzi wa kwanza wa Banyarwanda!!!Wanyambo ni koo za kitusi na kinyankore kama walivyo wahaya na koo za Baganda na koo za Kinyankore!!!!Mipaka ya wakoloni ndio iliwatenganisha
 
Mtutsi wa rwanda au burundi?
Mababu wa mababu zangu walitokea pande za Rwanda ila miaka hiyo hakukuwepo na Nchi ya Rwanda au Burundi au Tanganyika!!!Kulikua na koo za kifalme na koo za machifu tu!!!Walikua wafugaji wanaohamahama na mifugo afu wapiganaji wanaoteka aridhi na kuiba mifugo!!!Lakini lugha zao zinashabihana Kinyarwanda,Kirundi,kinyankore,kiganda,kinyoro na kihaya!!!!Mipaka Ali let a mzungu miaka ya 1800,s!!
 
Kusema mtutsi Kaiwa muhutu sio sahihi. Na kusema muhutu kauwa mtusi sio sahihi. Maneno hayo unamaanisha kuwa wahutu( all hutu society an all tutsi society wamehusitka kitu sio kweli)
Nafikili kusema sahihi ni interahamwe na Ex far waliuwa watutsi na moderate hutu.
Na RPA (tutsi forces) waliuwa wahutu na baadhi ya watutsi pia.kama watutsi wa bagogwe na bisesero.
Upo sahii kaka ni kweli
 
Nakuelewa hata falme ya Rumanyika ilikuwa ni Watutsi kama ndio kundi hili hupenda kujitambulisha kuwa wao ni Wanyambo.

Na mna kitabu chenu kinachoeleza asili yenu kikiwa na majina kabisa.

Ili kujitofautisha na watusi ambao walivamia Karagwe kwa ajili ya malisho.

Ila kinyambo kinashahabiana na kinyarwanda, Kinyankole ila sio kihaya.

Shukrani
Ni kweli Wanyambo ni koo za kinyarandwa hasa za kitusi wale wafuga ngombe na pia koo za kinyankore kama walivyo wahaya na koo za baganda!!!!Asilimia 30% ni kihaya!!
 
Back
Top Bottom