Post hii sio ya ligi ya ukristo vs uislam, Tupeane elimu na ushauri namna ya kujenga awareness kwamba kinachofanyika ni ukatili na tushauriane mbinu nzuri mbadala.
Hii ni video ikionyesha mfano wa hali iliyozoeleka katika baadhi ya madrasa na wala si jambo geni, adhabu wanayopata watoto ni ukatili kwao hasa ukizingatia bado wana speed ndogo ya kujifunza ila mwalimu hatilii maanani anatoa kipondo heavy.
Your browser is not able to display this video.
Na mbaya zaidi unakuta wazazi wala hawana tatizo na walimu kufanya haya, hii hupelekea hata watoto kuogopa kusema kwa wazazi wao endapo mwalimu akivuka mipaka.
Hii ni mbinu mbaya kufundisha ndio maana wengi huishia kukariri badala ya kuelewa, hata mtu akiwa mtu mzima unakuta kashasahau vingi alivyojifunza madrasa.
Pendekezo langu ni kwamba kwanini kusiwe na mbinu ambazo zipo balanced kufundisha watoto kwa namna ambayo itawafanya wapende kujifunza kwa hiari na si kwa vitisho?
Kuna kujifunza kwa michezo, kujifunza kwa kuimba, kujifunza kwa zawadi, n.k. vitu hivi ndivyo wanavyopenda zaidi watoto.
Miongoni mwa sehemu ambazo watoto hupata vipigo vya mbwa koko ni:
1st. Madrasa
2nd. Kotas za police
3rd. English medium schools
4th. Familia za watu wenye kipato cha chini na kati
Na mbaya zaidi unakuta wazazi wala hawana tatizo nao husema "na sisi tulipitia huko huko tena nyoe mna nafuu", wanaruhusu, hii hupelekea hata watoto kuogopa kusema kwa wazazi wao endapo mwalimu akivuka mipaka.
Huu ni upuuzi wa mashetani wa kanisa katoliki. Mbona nyuzi nyingi za huu upuuzi wao, hujaziona hizi; Chato: Katekista wa kanisa Katoliki akamatwa kwa tuhuma za kubaka mtoto wa miaka 8Jiongeze wewe ficha ujinga wako, kwani kanisa ndio limemtuma afanye hayo makosa yake. Hakuna masheikh waliowahi...

Mwalimu wa Madrasa katika msikiti wa Mohamed Shunu uliopo Mtaa wa Shunu Kata ya Nyahanga Manispaa ya Kahama, aliyefahamika kwa jina moja la Faidhi anashikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi 10 wa madrasa kwa nyakati tofauti kwa kuwarubuni kuwapa Sh 1000 na Sh 500...

Njombe, katekista wa kanisa katoliki apandishwa kizimbani kwa kumbaka binti wa miaka 17 nyuma ya jengo la kanisa. ======= Simon Njavike (43) ambaye ni Katekista wa Kanisa la Roman Catholic Parokia ya Mlangali Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya hiyo...