Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Ongezea hii kwenye list yako.Hapo sawa.
Njombe: Katekista wa Kanisa Katoliki apandishwa kizimbani kwa tuhuma za kubaka
Njombe, katekista wa kanisa katoliki apandishwa kizimbani kwa kumbaka binti wa miaka 17 nyuma ya jengo la kanisa. ======= Simon Njavike (43) ambaye ni Katekista wa Kanisa la Roman Catholic Parokia ya Mlangali Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya hiyo...www.jamiiforums.com
Mwalimu wa madrasa Zanzibar afungiwa tuhuma za ulawiti | Mwananchi
www.mwananchi.co.tz