Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Ongezea hii kwenye list yako.Hapo sawa.
Njombe: Katekista wa Kanisa Katoliki apandishwa kizimbani kwa tuhuma za kubaka
Njombe, katekista wa kanisa katoliki apandishwa kizimbani kwa kumbaka binti wa miaka 17 nyuma ya jengo la kanisa. ======= Simon Njavike (43) ambaye ni Katekista wa Kanisa la Roman Catholic Parokia ya Mlangali Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya hiyo...www.jamiiforums.com
Ongezea hii kwenye list yako.
Elimu na dini ni utumwa ila ndo hakuna namna...yatupasa kuishi katika mifumo.
Kula chuma hicho.Ongezea hii kwenye list yako.
Ulisema nikuwekee matukio mawili hadi sasahivi umeona nimekuwekea mangapi? Kwa taarifa yako RC limeoza kwa ulawiti si TZ tu bali dunia nzimaWeka matukio mawili ya kesi za ulawiti kutokea kanisa la RC Tanzania, na mimi niweke hapa kesi za ulawiti MADRASA hapa tz
Safi AjuzaWajinga tu hao wanaofanya ukatili kwa. Watoto washtakiwe tu.
Uislam haujafundisha hayo
Pitia hii pia bossKula chuma hicho.
Chato: Katekista wa kanisa Katoliki akamatwa kwa tuhuma za kubaka mtoto wa miaka 8
Huko Chato mkoa wa Geita katekista wa kanisa katoliki amekamatwa akibaka mtoto wa 8. ===== Jeshi la polisi mkoani Geita, linamshikilia Athanas Rugambwa (62) mkazi wa Muganza wilayani Chato mkoani Geita kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka nane mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi...www.jamiiforums.com
Kama nyie tuu watoto wa mnyaziUlisema nikuwekee matukio mawili hadi sasahivi umeona nimekuwekea mangapi? Kwa taarifa yako RC limeoza kwa ulawiti si TZ tu bali dunia nzima
AhsanteWajinga tu hao wanaofanya ukatili kwa. Watoto washtakiwe tu.
Uislam haujafundisha hayo
Ulitaka mbili ila nimekuwekea zaidi ya mbili na ukitaka naongeza nyau wewePitia hii pia boss
We paka nimeweka baadhi tuu ila kesi zenu wavaa kobazi ni nyingi mnoUlitaka mbili ila nimekuwekea zaidi ya mbili na ukitaka naongeza nyau wewe
Inayojitambua ni ile inayoweza kuketi mezani na kujadili waruhusu ndoa za jinsia moja ama la.We unaona ile dini ina jitambua?
Dini yemyewe ya kulazimisha
Hata zako nimeweka baadhi tu unafikiri ni zote? Tena kwa taarifa yako ukiona hadi ishu ya RC imetoka uraiani ujue hakuna namna ila wanafichiana madhambi tu.We paka nimeweka baadhi tuu ila kesi zenu wavaa kobazi ni nyingi mno
Mungu wenu hajui Kiswahili?