Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii

Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii

😑😑😑
 
UjInga ni mzigo !! Waliompiga ni wendawazimu ! Yaani MTU kunyoosha juu vidole viwili ni kosa kubwa sana mpaka MTU aadhibiwe kiasi hicho ?? Hata kwa Wapalestina na Waisraeli huwa hawafanyi hivyo pamoja na kwamba vidole viwili huwa vinainuliwa sana tu !! Huo ulikuwa ni ujinga na upumbavu wa kiwango cha juu sana !!
ukitumia akili kuna mahala utaelewa, sio kila vita unapaswa kujiexpose kwenye risk, kuna wakati lazima ufanye hesabu vizuri kufanikisha unachotaka kufanikisha.... Haya jamaa kaumia anayeteseka ni mama yake tena hali yake kimaisha ndio hivyo tena.

Mtoa mada katuambia si CDM wala CCM anayetoa msaada....kuna wakati lazima ufanye proper calculations kwenye kila hatua za harakati zako sio kwenda kwenda hovyo eti uitwe shujaa.
 
😑😑😑

Duh jamaa ni katili sana !! Hafai kabisa kuitwa eti ni kiongozi !! Sheria ichukue mkondo wake ! Tanzania hatuhitaji ukatili wa namna hiyo katika jamii bado hatujafikia huko !! Mambo ya namna hii yadhibitiwe haraka before it's too late !! Usipoziba UFA utajenga ukuta !!
 
Jeshi la Polisi na Vyombo vya ulinzi na usalama wananchi wataridhika kama uchunguzi wa tuhuma hizi utafanyika.

Kama ni uongo basi Elibariki asafike kwa hili.

Ni imani yetu tuhuma hizi hazitapuuzwa.
Kazi ya Sirro kwa sasa ni kuhamisha tu Ma RPC wanaomsengenya
 
Kwani Jiwe alikuwa dini gani ?
Dini yeyote ile Mara nyingi hutumiwa na watu waovu kujifichia huko na pia kupata mass support ili watimize malengo yao !! For your information hakuna maandiko yeyote kutoka kitabu chochote cha dini yeyote ile kinachoamrisha kufanya ukatili wa aina yeyote ile Kwenda kwa kiumbe chochote kile !! Vitabu vyote vinaamrisha watu kuoneana huruma na kusaidiana !! Mambo mengine yote maovu huwa ni uzushi uzushi tu wa kibinadamu ili wakidhi matakwa yao !! ( rumors is carried by haters ........) !!!
 
CHADEMA ni chama chenye matabaka ya kutisha. Angekuwa kamanda mwenye ukaribu na Lema au Mbowe tungesikia kelele kila kona na Kingu angekuwa mahakamani muda huu. Ila kwasababu ni wa huko pembezoni katelekezwa na chama chake. Na hadi muda huu badala ya kusaidia wamechukua ishu ya mgonjwa kama kiki ya kisiasa. Vijana kuweni makini mnaposhabikia chama cha Mbowe.
 
Back
Top Bottom