Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii

Huyu ni Mbunge wa CCM katika ule mpango wa Mahera na Magufuli wa kuwapa ubunge watu waovu, wako wengi waliopewa ubunge wa namna hii akiwemo Ramadhan Ighondu.

Taarifa nchini Tanzania zinaonyesha kwamba Kijana Elibariki Kingu ambaye ni mbunge wa CCM amehusika kwenye unyama wa kuumiza na kuua wanachama na viongozi wa upinzani, Ushahidi usio na Shaka unazunguka kwenye mitandao yote unayoifahamu duniani lakini cha kushangaza mpaka sasa bado hajakamatwa wala kufikishwa mahakamani kwa unyama wa wazi alioutenda, Je analindwa na Polisi au analindwa na Mama Samia?

Je wananchi wakiamua kuchua sheria mkononi kuna wa kulaumiwa?
 
Hebu weka picha yake.Muhuni mkubwa huyo.
 
Jeshi la Polisi na Vyombo vya ulinzi na usalama wananchi wataridhika kama uchunguzi wa tuhuma hizi utafanyika.

Kama ni uongo basi Elibariki asafike kwa hili.

Ni imani yetu tuhuma hizi hazitapuuzwa.
 
Polisi anafuata mtuhumiwa baada ya anayetuhumu kupeleka malalamiko. Hatufanyii kazi matukio ya mitandaoni.

Namuomba mwenye kulalamika afike kituoni nasi tutalifanyia kazi mara moja.

Vinginevyo utakuwa unamchafua bure mtu na utashitakiwa kwa hilo.
 
Huyu ni Mbunge wa CCM katika ule mpango wa Mahera na Magufuli wa kuwapa ubunge watu waovu, wako wengi waliopewa ubunge wa namna hii akiwemo Ramadhan Ighondu.

Taarifa nchini Tanzania zinaonyesha kwamba Kijana Elibariki Kingu ambaye ni mbunge wa CCM amehusika kwenye unyama wa kuumiza na kuua wanachama na viongozi wa upinzani, Ushahidi usio na Shaka unazunguka kwenye mitandao yote unayoifahamu duniani lakini cha kushangaza mpaka sasa bado hajakamatwa wala kufikishwa mahakamani kwa unyama wa wazi alioutenda, Je analindwa na Polisi au analindwa na Mama Samia?

Je wananchi wakiamua kuchua sheria mkononi kuna wa kulaumiwa?
Tundu Lissu hoyeeeee
 
Watu hai wanaongelea vitu hai.

Team majungu na kamati za roho mbaya mnajadili wafu na kugombana na kivuli cha Marehemu JPM.

Chadema Kama mnao ushahidi kwa nini msiupeleke kwa wahusika rasmi?

Na kama mnaona Jeshi la Polisi haliwatendei haki.

Kuna LHRC kwa nini msiwape huo ushahidi
Nao wakaanzia pale mliposhindwa nyinyi?

Kuna Amnesty International kwa nini msiwape huo ushahidi?

Kuna International watchdogs kibao,kwa nini msiwapelekee huo ushahidi?

Lissu ni mwanasheria Nguli akishirikiana na Amsterdam, je kwa nini hamumtumii?

Kibatala ni mwanasheria wenu nyinyi Chadema na kwa nini asimtetee huyo mwanachama wa chadema aliyeumizwa kama mnao ushahidi mnaodai kuwepo?

Au Kibatala ni kwa ajili ya kutetea mwenyekiti tu?

Mnawaingiza wanachama au wafuasi wenu matatizoni halafu yakiwapata kama huyo,mnabaki kueneza chuki mitandaoni badala ya kuwasaidia wahanga ikiwemo kuwapatia matibabu sahihi?

Sasa kwa tukio hili inabidi wafuasi wenu waelewe ni jinsi gani ya kuitikia maamuzi ya viongozi wenu.

Erythrocyte unaboa kwa kuwa unadhirishia umma kuwa na wewe ni kamati ya roho mbaya.
 
Polisi anafuata mtuhumiwa baada ya anayetuhumu kupeleka malalamiko. Hatufanyii kazi matukio ya mitandaoni.

Namuomba mwenye kulalamika afike kituoni nasi tutalifanyia kazi mara moja.

Vinginevyo utakuwa unamchafua bure mtu na utashitakiwa kwa hilo.
Amekuja Kubenea,mmesaidiaje??
 
Back
Top Bottom